Hana lolote jipya kashindwa UN ataweza bongoNadhan sasa niwakat muafaka kwa aliekua naibu wa katibu mkuu wa UN kutumikia taifa lake
Kwanza lazima ateuliwe na prezdar kuwa mbunge,sasa nafasi 10 za prezdar si kazimaliza au?
Rais ni Alhaj, makamu wake ni Alhaj na unataka na PM awe Hijjat
Nadhan sasa niwakat muafaka kwa aliekua naibu wa katibu mkuu wa UN kutumikia taifa lake
mtatuangamiza mkimweka huyu mama. huu uwaziri mkuu anyang'anywe Pinda apewe Mh. Magufuli
Katiba haimruhusu kuwa waziri mkuu.
kumbuka mtoto wa nyoka ni nyoka tu!Malafyale,
..Watumishi wa UN, pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa UN, ni international civil servant.
..kutokana na kiapo cha nafasi yake, Dr.Migiro anatakiwa atende haki kwa nchi zote wanachama wa UN, na katu asiipendelee nchi anayotoka.
..Dr.Migiro angeipendelea Tanzania ingepekelea kuchafuka kwa heshima na jina la nchi yetu ktk jumuiya ya kimataifa.
..sasa hivi kuna migogoro ya Palestina,Korean Peninsular,Darfur,Somalia,etc etc. Katibu Mkuu wa UN, Ban Ki Moon, anatakiwa kushughulikia migogoro yote hiyo kwa stahiki yake, bila kuupa priority zaidi mgogoro wa Korea Peninsular ambako anatokea.
..Hata kama UN imefanya jambo fulani hapa Tanzania, naamini itakuwa imefanya hivyo kwasababu suala hilo lipo ktk ajenda na mipango ya Katibu Mkuu Ban Ki Moon, na siyo kwasababu ya influence ya Dr.Migiro.
..Naibu Katibu Mkuu[Migiro] wa UN siku zote anafanya kazi kwa ridhaa na maelekezo ya Katibu Mkuu[Ban Ki Moon] wa UN.
NB:
..ili kustahili kushika nafasi yoyote hapa Tanzania, ktk mazingira tuliyonayo na tunakotaka kuelekea kama taifa, Dr.Migiro anapaswa kujipambanua kwamba anajiweka mbali kabisa na ufisadi na rushwa zilizoigubika CCM.
Nadhan sasa niwakat muafaka kwa aliekua naibu wa katibu mkuu wa UN kutumikia taifa lake
sio sababu ya jinsia yake ni kwa sababu ya uwezo wake katika uongozi kama dunia imetambua uwezo wake na kumtumia sio sababu ya sisi kutomtumia