Recent content by moshix

  1. M

    Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

    pole sana kaka inaonekana pesa zako zilikosa kazi ukaamuwa kwenda kusomesha mwanamke,nyie mbona mko wengi sema wengine wanakufa na tai zao shingoni.
  2. M

    Roho inaniuma. Amekosea maessage akaituma kwangu.

    una wazimu eti,mke wa kuoa anatafutwa kwenye mitandao umeona wapi.
  3. M

    Wafanyabiashara wenye maduka Kariakoo wagoma kufungua Maduka wakipinga mashine za TRA

    kwanza hizi machine bei yake iko juu sana,no2 matajiri wakubwa nchi hii wanafanya biashara bure hakuna kodi yoyote wanayo toa zaidi ya danganya toto,kodi imebaki kwa wafanyanya biashara wadodowadogo mitaani hawa ndio wanahangaiswa,nadhani tatizo siyo hizo machine,tatizo ni ubovu wa serikali ya sasa.
  4. M

    Hizi ndizo sababu zinazowafanya wanaume wengi wasipende kuoa mijini...

    kweli wamjini wamekutana na mengi wanataka magalaxy marange mavitz manoa malaptop,wavijijini wakifika mjini wakigeuka tabia wanataka jet,mimi ndoa basiiii
  5. M

    Wanawake wa sinza na kijitonyama na maisha ya kuigiza

    hamna cha first date hapo,wanaume wengi aibu ndio inawatia shimoni mwanamke mwenye heshima zake hawezi kwenda kwa mwanaume na rafiki zake wakati anajuwa anakwenda kutongozwa,wewe ukiona hivyo fukuza wote siku nyingine atakuja kwako na heshima zake,akiona yamemshinda akatafute wanaume wanao penda...
  6. M

    Wanawake wa sinza na kijitonyama na maisha ya kuigiza

    juzi mimi nimemfukuza msichana mmoja hivi yeye na shoga yake,nimempigia simu aje tukutane akanijibu okay ntakuja na rafiki yangu nikamwambia hapana njoo peke yako tutakuwa na mazungumzo ya kimapenzi yani tunatongozana rafiki wa nini au unataka wasikiee jinsi ninavyo kutongoza,siku ya miadi...
  7. M

    '' mke wangu ame-lock simu yake kwa security code " .... Nahisi kitu ila nashindwa mwambia!!

    hakuna kitu kinacho udhi kama kuona dume zima linalialia hapa eti mke wangu,wewe kama kweli ni mume wa kweli mke wako atakuheshimu na unauwezo wa kufunguwa sim yake ukaichunguza nini kiko ndani,unahaki ya kujuwa nana anamtumia sms na kutazama zinatoka wapi,mwanaume wa kweli hata siku moja mke...
  8. M

    Nakerwa na tabia ya mademu kuomba kuongezewa pesa

    hiyo unayo zungumzia wewe ni uhongaji,vipi niongeze pesa ya fenicha au tv,huyo mwanamke ni ndugu yangu au tunakopeshana,fafanuwa kijana.
  9. M

    Nimekataliwa kisa........!

    sasa wewe nae sijuwi hujielewi,tafuta kazi bhana acha mambo ya wanawake,mambo yakiwa mazuri utapata mwingine
  10. M

    Usimgharamie kama hujamuoa

    poleni sana nyie mnao somesha hawa wanawake wa mijini,hizo pesa zenu kama hazina kazi bora mkatowe zaka makanisani na misikitini.
  11. M

    Kikwete atabiri kung'oka na kifo CCM - wanaCCM wajiandae kisaikolojia

    juzi makinda kasema mishahara ya wabunge ni midogo,mwingine akasema uwekezaji ambao unaweza kufanywa na wazawa ni kuuza maji ya machungwa mitaani,mwingine akasema wanafunzi ambao hawajapata mikopo ya elimu ya juu warudi vijijini wakauze nyumba na mashamba yao wapate kusoma,hayo ni matamshi ya...
  12. M

    Membe: Tunasubiri talaka Jumuiya Afrika Mashariki

    wafike salama hiyo safari yao,wanao mponda membe humu ndani hao ni wakenya waganda wanyarwanda, hata hamtunyimi usingizi.
  13. M

    Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

    kitu cha kushanga kabisa wanaomba mpaka watu wasio wajuwa,huwezi kwenda kuomba mtu ambae mmekutana kwenye hii mitandao ya kijamii,mwisho watakuja omba mpaka majini kwa hizi tabiya zao za ajabu,sema upande mwingine inasaidia sana ukikutana na mwanamke wa namna hiyo mana unakuwa umemjuwa mapema...
  14. M

    Tukio la Ufoo Saro licha ya kusikitisha latufunza mengi

    candid wewe umesema kweli kabisa gharama zinaumiza sana, mimi hapa binafsi nimewahi kumvuwa msichana mmoja wa kinigeria mikufu kwa nguvu mchana kweupe watu wote wakishuhudia ndani ya mgahawa wa kfc huko dubai nashukuru mungu sikukamatwa kama ningekamatwa ningekuwa kifungoni mpaka sasa,yote hiyo...
  15. M

    Pato la Wastani Rwanda $583, Tanzania $434

    hiyo ni kawaida inatokana na ukubwa wa nchi na wingi wa watu,qatar wananchi wake ndio wenye kipato kikubwa zaidi duniani,qatar na nchi za ulaya au america ipi zaidi,huo ni mfano2
Back
Top Bottom