Roho inaniuma. Amekosea maessage akaituma kwangu.

Roho inaniuma. Amekosea maessage akaituma kwangu.

Mwache aje na revised version ya thread ili tupate story next time. Watu wameuziwa hadi picha za maghorofa ya Posta sembuse picha ya mwanamke. Halafu hiyo picha katumiwa makusudi, mtu mwenyewe wala hayupo hivyo, ameidownload kutoka faces.com., si anajua ushiboy ndio ugonjwa wake!

kwa hiyo Simplicity unataka kutuambia ushiboy ni kundi la wale wanaotusumbua online na maID feki kutafuta wapenzi wa kusexchatishana? (in Broken souls voice)
 
Last edited by a moderator:
Huyo dada anadalili zote za kuwashwa risas maana ndo mtindo wa kisasa
 
Duh ameshakuchuma pesa hadi ndio unaumia?

Huyu ni tembea tembea anajihukumu kuwa umemkamata na hana time na wewe alikua anakukula tu. Hujaonana nae unaumia roho mmhh ulituma mtu amfuatilie tabia au kujua kwao vipi etc au friends?

Hii kitu wengi wanalizwa shukuru umejua mapema ungehata hudumia harusi yake na mwenzako.

Haya wahi mbele I hope haukumtumia pesa za kujenga nyumba na haumjui. Au biashara.
 
Utakuwa umehonga hatari navyo wajua Dada zetu halafu upon mbele ni hatari!move on aisee unaweza kuta Hugo in mmoja tu engine kibao wapo !halafu a cha kutongoza kwa kupitia mitandao
 
hivi hapo mzigo hujaonja upo hivo?
Je ukionja؟ukanogewa?
Ndo yale yale yakina ........

Nimeipenda avatar yako...nguo yangu ya ndani imekuwa ndogo ghafla...
 
Nimdada mrembo wa haja na mwenye sura ya kuvutia, kwa mujibu wa picture ambazo amekua akinitumi.
Huyu dada tulikutana kwenye moja ya social net, tukapendana na kukubaliana kuwa wapenzi pindi nitakaporudi huko Tz.
Leo baada ya kutoka kibaruani tukaanza kuchat kamakawaida, chaajabu akanitumi massege ya kuahidi kufika mapema ilikua ina maneno ya mahaba yakiambatana na shukrani kwa penzi (makatiko) alopewa.
Nilipo muuliza kuhusu hiyo massege, amekaa kimya na nikimpigia cm hapoke.
Hadi nalileta kwenu wadau, nimekosa usingizi na sijui lakufanya.

ya kijamii huwa yana isha kijamii sasa ulikuwa hujui kama anagegeduliwa na mwenye mali unashangaa nini sasa..
 
Jamaa una mapenzi ya kuhamisha milima! Yaan hata rangi ya pichu huijui unachanganyikiwa?
 
Nimdada mrembo wa haja na mwenye sura ya kuvutia, kwa mujibu wa picture ambazo amekua akinitumi.
Huyu dada tulikutana kwenye moja ya social net, tukapendana na kukubaliana kuwa wapenzi pindi nitakaporudi huko Tz.
Leo baada ya kutoka kibaruani tukaanza kuchat kamakawaida, chaajabu akanitumi massege ya kuahidi kufika mapema ilikua ina maneno ya mahaba yakiambatana na shukrani kwa penzi (makatiko) alopewa.
Nilipo muuliza kuhusu hiyo massege, amekaa kimya na nikimpigia cm hapoke.
Hadi nalileta kwenu wadau, nimekosa usingizi na sijui lakufanya.

Acha ujinga weye!
Ujinga wa kipambafu kabisa.
Picha tu unachanganyikiwa
Ikiona uke itakuwape
Utaishia kukojolea mapajani kwa ujuha
Ujuha wa kiwendawazimu
Achana na kutoafuta wanawake katika mitandao
Mitandao ya kijamii pamoja na kuwa ni moja ya contact-places.
Bazazi hutafuta wanawake katika nyumba za ibada

Bazazi
 
Hayo ndiyo madhara ya kutafutia wapenzi au wachumba kwenye net!!! Aisee, hivi unajua masuala ya photoshop??? Angalia picha na kubali kuwa binti ni mrembo!! Pole sana!!!! Bora umeipata hiyo sms mapema sana!!! Hivi unajua yuko hapa Tz akikusubiri wewe? Sana sana kama ingetokea uje huku ni kuwa angekuweka katika mizani kukulinganisha na njemba wake wengine!!! Mwombe Mungu akupe mke wa ubavu wako, hao wa social network si wote genuine!!! Itakula kwako!!
 
Duh hii ni noma
 
una wazimu eti,mke wa kuoa anatafutwa kwenye mitandao umeona wapi.
 
Tuu!!! tuuu!!!! tuuu!!! karisasi kanamfaa huyo wasosho site wako, halafu unadhani alikuwa anakungoja wewe tu?
 
wewe hauna usingizi maana mtu haumjui itakuaje unaanza kupata presha kah!
 
Uvamizi unaoendelea katika hili jukwaa , sjui itakuaje baada ya miaka miwili, hizi division 5 saa hizi balaaaaah
haya bhana ukitoka KYAKA umtafute bhaana!.
 
Back
Top Bottom