ahsante dada!
you deserve ten pieces of cooked sato!
keep it up!
unajua bwana hawa wanawake wana mambo ya ajabu sana!''Nampenda sana mke wangu, ni miezi sita tu toka tufunge ndoa!!!
sitaki kumuudhi wala kumkera kwa lolote, namtimizia kila kitu ili mradi tu asipate vishawishi vya kutoka nje ya ndoa!
toka tuanze mahusiano yetu ya kindoa, mke wangu alikuwa msikivu sana kwangu, kila ninalo mwambia amekuwa
akinisikiliza! ilifikia kipindi ikawa ni utamaduni wetu kuwa tuna share mpaka simu zetu! yeye akiwa anatumia yangu mi
natumia yake! wiki chache hivi zilizopita, nimeshangazwa sana na hiki kitendo nilichokuta kwenye simu ya mke wangu, simu yake imefungwa kwa namba maalum anazozijua yeye mwenyewe!! nilipojaribu kuhoji juu ya hilo, akanijibu kwa ukali, ''kwani wewe unataka nini, simu si yangu, na wewe una yako.. funga na wewe yako''!
niliamua kukaa kimya ili nisizue mengine! mke wangu amekuwa ni mtu wa kupokea simu za ajabu ajabu na kutumiwa meseji kila mara, kila ninapohoji, yeye anasema kwa ukali kwamba wivu, namwaibisha kwa mashoga zake... eti tuko mjini hapa!!!
mwenzenu nimechanganyikiwa!!! nahisi kunyang'anywa tunda langu''......
wana jf, hiki ni kilio cha mmoja wa marafiki zangu.. yamemkuta ya kumkuta. hajui afanye nini ndugu zangu!! ushauri wenu ni muhimu sana hapa wadau!
tumshauri mwenzetu mkuu.. hii cheating sasa ni ya kulazimisha kabisa!!!!
halafu ina dharau nyingi sana ndani yake..!
simu ya mke ni sumu kuishika, ukiona mwanaume unashika shika simu ya mkeo jua unamatatizo, utakufa kwa presha bure
Mbona tatzo la huyo jamaa linaendana na id ya mleta uzi?Ok!! huyo jamaa wako anataka nini zaidi?kusoma msg?kuangalia aina
ya watu wanaompigia/anaowapigia? kazi ndogo sana kuna kitu kinaitwa 'hacking'.
mkuu pole sana...inabidi ukaze moyo na uanze kuchukua maamuzi magumu...uyo mwanamke kashakuona wewe ni kibisa ,,yani anauwezo wa kukupandishia sauti na usifanye kitu,,,hilo ushamjengea,,achana nalo..swala la msingi...jipange upya kuto kuonyesha wivu hata punde..mpotezee vitu vidogo kama kuulizia eti kwanini ana chat au kuongea na simu..mwanamke ukitaka attention yake ni kwa kuto muonesha attention hata kidogo...''Nampenda sana mke wangu, ni miezi sita tu toka tufunge ndoa!!!
sitaki kumuudhi wala kumkera kwa lolote, namtimizia kila kitu ili mradi tu asipate vishawishi vya kutoka nje ya ndoa!
toka tuanze mahusiano yetu ya kindoa, mke wangu alikuwa msikivu sana kwangu, kila ninalo mwambia amekuwa
akinisikiliza! ilifikia kipindi ikawa ni utamaduni wetu kuwa tuna share mpaka simu zetu! yeye akiwa anatumia yangu mi
natumia yake! wiki chache hivi zilizopita, nimeshangazwa sana na hiki kitendo nilichokuta kwenye simu ya mke wangu, simu yake imefungwa kwa namba maalum anazozijua yeye mwenyewe!! nilipojaribu kuhoji juu ya hilo, akanijibu kwa ukali, ''kwani wewe unataka nini, simu si yangu, na wewe una yako.. funga na wewe yako''!
niliamua kukaa kimya ili nisizue mengine! mke wangu amekuwa ni mtu wa kupokea simu za ajabu ajabu na kutumiwa meseji kila mara, kila ninapohoji, yeye anasema kwa ukali kwamba wivu, namwaibisha kwa mashoga zake... eti tuko mjini hapa!!!
mwenzenu nimechanganyikiwa!!! nahisi kunyang'anywa tunda langu''......
wana jf, hiki ni kilio cha mmoja wa marafiki zangu.. yamemkuta ya kumkuta. hajui afanye nini ndugu zangu!! ushauri wenu ni muhimu sana hapa wadau!
mwanamke nae mwenye mashaka na simu yake pia analeta hofu.
Hapo una alternative tatu;kwanza MTANDIKE KISAWASAWA HADI PASSWORDS ZITOKE ZENYEWE AU MSAHAU KAMA YUPO HADI ATAKAPO KUMIS AU MUAMRISHE AONDOE PASSWORD AKIKATAA ATAWANYIKE WASICHANA WAZURI WAKO FOLENI BADO KACHUKUE!!!
unajua bwana hawa wanawake wana mambo ya ajabu sana!
ushauri wangu
1) mke ni rafiki yako na urafiki uliuopo lazima uwe na mipaka mfano mimi acheze na simu zake mda anaotaka ila inapofika muda wa jioni say saa mbili anapopika hadi tunapolala ni marufuku muda kupokea simu za ovyo zisizo na umuhimu like wise you, achana na u-busy wa simu uwapo home unless its important call na sio unapokea simu una aishia kuongea upuuzi na washikaji.
2)Achana na kupekua simu zake badala yake jikite kwenye ubize wa mambo yako mfano home work za kazini, reading novels watching movies za ukweli ambazo weird kidogo, battles, odds na sii maigizo kama haya ya kwetu, or do anything costractive such as kusafisha feni kwa kuifungua, kurepair electrical machines or music systems na si kufuta meza au kuosha friji fanya vya kiumeni tu. yeye mwenyewe atajiuliza kwanini siku hizi hukagui simu zake! remember number one is important.
3) katika wakati huu epuka kumpa informations ambazo alikua akizijua wakati mlipokua mna-share simu! either alikua anajua kwa kusoma msg zako,marafiki uliowa-add kwenye phonebook, issue unazofanya zote asijue maendeleo yake! ila majukumu yote yafanye kama kawaida bila kinyongo! b'live me hakuna kitu mwanamke hapendi kama kutojua yanayoendelea kwenye mawasilano na maendeleo yako! she always want to know in advance.
Atakapokuja kulalamika then ndo muda muafaka wa wote kuongea na ku-solve once and for all.
Kumbuka a man without codes........?