Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,835
- 37,442
Hahahaaa madame B uneniua kweli Mtu wangu:-
1-wanaume wanaosomeshwa na wanawake.
Jibu ni:Kwa muda huu Hakuna aliyekuwa anasomeshwa ni yule 24 Vs 60 (Mbunge) yeye alishahitimu shule siku nyingiii.
2-twawanunulia mpaka boxer.
Jibu ni:Hiyo haijalishi kwani mimi nimenunuliwa mara ya mwisho 2010.
3-nakuja kula kwenu.
Ushauri:Kama kwao ni mbali unaweza kuja kwangu.
Mwisho.
Haiwezekani uwe na Gf a.k.a kasmall haus usikagaramie ,cost sharing its mandatory ishu ni kwamba kuwe na mipaka ya kiasi na aina ya msaada.Unaweza kumnunulia Vitu kama vile Simu (siyo Samsung )namaanisha tule tu-Nokia twa Tochi),Hela ya Saloon not exceeding 50,000/=,ya matumizi madogo not exceeding 100,000/=.
Mount Kibo, wewe ndo wasema.
1. Acha fiksi kuna wanaume mpaka leo bado wanasomeshwa.
2. Kama wewe umenunuliwa mwisho 2010, kuna wenzio mpaka kesho wananunuliwa.
Hayo ya small house ni lazima unigharamie.
Piga, Ua, galagaza Mount Kibo.
Last edited by a moderator: