Chadema lazima waelewe wao ni tishio na adui namba moja kwa serikali, hasa kwa kipindi hiki tunapokaribia uchaguzi ni lazima chama hiki kiwe makini kuliko kipind chochote kile,kwasababu kimekua tishio kwa watawala,cku zote adui mwenye bunduki ukifanikiwa kumnyang'anya huokota mawe, na hapo ndipo...