Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,933
- 32,341
Mandela na Nyerere hauwezi kuwafananisha.Kwani Nyerere alivyokufa south Africa walitangaza siku ngapi za kuomboleza?
Mandela na Nyerere hauwezi kuwafananisha.Kwani Nyerere alivyokufa south Africa walitangaza siku ngapi za kuomboleza?
Tanzania imetangaza siku tatu za maombolezo kuanzia tarehe 8 hadi11 kufuatiwa kifo cha kiongozi wa kwanza mweusi wa A/kusini Nelson Mandela...R. I. P Mzee Madiba...
Source: clouds fm.
Sina uhakika sana kama hiyo lugha ni kiswahili fasaha. Rais Msaidizi?...
Imetolewa na;
Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
Ikulu,
DAR AS SALAAM.
06 Desemba,2013
!
!
nini!?........JK asiende kwenye msiba!?.....chezea JK kwa hitima wewe?
Kutokana na misele mingi anayoipiga na safari nyingi za bandika bandua na sasa yupo ulaya ndani ya mwezi kuwa ulaya zaidi ya mara 3,sasa asipoeda sauzi siku chcche zijazo najinyonga,,,,
anayebisha abishe,,,,!!
Mandela mwenyewe hakuhudhuria msiba wa Nyerere, sisi tunatangaza siku 3 za maombolezo!
Sioni sababu...
Kwani Nyerere alivyokufa south Africa walitangaza siku ngapi za kuomboleza?
Mandela mwenyewe hakuhudhuria msiba wa Nyerere, sisi tunatangaza siku 3 za maombolezo!
Sioni sababu...