I have no doubt, Dr Nchimbi will bounce back!

Nchimbi cheo ni dhamana .Nafasi uliyokuwa nayo ni nyeti hivyo ilihitaji umakini na ubinaadam.Hayo hukuyazingatia Tulia dawa ya maumivu iingie polepole kadiri ya machungu ya watanzania maskini yalivyowasibu
 
Kuwa nje ya serikali kutamcost kimipango 2015 .sasa ajikite zaidi kwenye chama na amuunge mkono mgombea mwenye ushawishi mkubwa ili 2015 awe kwenye baraza jipya and who knows maybe 2025 anaweza akawa na nafasi tena

Dr Nchimbi ni mtu wa mipango sana, there few individuals like him ndani ya ccm .he is well connected na mtandao wowote utamtaka ajiunge nao ..

Dr Nchimbi anaushawishi mkubwa kwa vijana ambao ndo wanaweza kumbeba. Apa ajipange na anagalia utoke vip.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Nonsense!When will JK step down?He should be impeached for failing to lead our our Country!What a wasted space!
 
Bounce back kwa manufaa ya nani? And who gives a damn if he does or doesn't bounce back?
 
JK atakuwa mtu wa mzaha sana akimpa nafasi yoyote ya uongozi huyu mtu,kwa uadilifu upi alionao?
 
Kuwa nje ya serikali kutamcost kimipango 2015 .sasa ajikite zaidi kwenye chama na amuunge mkono mgombea mwenye ushawishi mkubwa ili 2015 awe kwenye baraza jipya and who knows maybe 2025 anaweza akawa na nafasi tena

Dr Nchimbi ni mtu wa mipango sana, there few individuals like him ndani ya ccm .he is well connected na mtandao wowote utamtaka ajiunge nao ..

Dr Nchimbi anaushawishi mkubwa kwa vijana ambao ndo wanaweza kumbeba. Apa ajipange na anagalia utoke vip.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Ndiyo maana is frequently seen at Mzumbe?
 
Mpaka 2025??? Ana umri gani kwanza...

Mpaka 2025 huyu bwana bado Mbunge tu au ana hati miliki ya ubunge au hujasoma rasmu ya katiba mpya nini, isistoshe hana ubavu wa kuishinda CDM 2015.
 
Asingekuwa mshirika mkubwa wa Tembo dentist ingewezekana kilaini. Ni tembo man
 
Kheeeee Kheeeeee Kheeeeee Rais mtarajiwa 2015!!! Baadhi ya Wabongo banaaa wanachekesha kweli kweli!!!!
 
Yeye ni mwenyekiti mstaafu wa uv-ccm so anaujua umoja huo in and out . Kwa sasa ni mwenyekiti wa baraza la wadhamini la uv-ccm nafasi aliyokua anashikilia Mh. Lowassa . Dr. Nchimbi anaeshimika sana ndani ya umoja wa vijana wa ccm

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Kwani umoja wa vijana kuna wenye akili au ni magalasha kama yeye.hata vichaa wakiwa wodini wanaheshimiana sembese hao unaowasema.Huyu asubiri muda wake akaungane na kina UHURUTO the haggue
 
Mkuu nakuunga mkono. Dr. Nchimbi ni mzee wa mipango ya muda mfupi na muda mrefu. Amepata ajali ya kisiasa lakini nadhani ataenda kujiponya majeraha na kurudi; for sure he will bounce back.

Mipango ajuayo nchimbi ni mpiango ya uhalifu dhidi ya Raia. Hana mipango ya kukomboa nchi na wala kutokomeza uhalifu. Vifo na mateso ya RAIA mtwara, arusha, iringa nk.vitamuandama daima. Waziri gani anaonekana kulinda wahalifu? Mpaka sasa wauza madawa wanapeta na yeye yupo tu. Kwa kuwa ni kijana mtiifu kwaJK najua atarudi kwa mgongo wa nyuma lakini daima damu za watanzania wasio na hatia zitamuandama
 
Back
Top Bottom