We jamaa umechemka kwa kweli,rudi ukajpange upya,
Jux ana hit songs kama uzuri wako,napata raha,mwambie yeye n.k,
Izzo B (Miss biznes,naongea na riz1,ball player,afu kuna hii aloimba na shaa na barnaba)
Cyril (Nmerud,Nafanya,mtoto wa singida)
Abdu kiba (bingwa viduku,kidera),RUDI KAJPANGE JAMAA...