Twinawe? nenda pekee yako! sie Mara tunatamani tuishi milele, kama huko kwenu maisha yamegoma kivyenu!!! tena ukome kutulisha maneno ya hovyo mburura wewe swine!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushajinasibu kuwa ushagonga wa wenzio wengi tu! sasa kiherehere cha nini? mbona ngoma droo!.Chambilecho"muosha huoshwa"
Sent using Jamii Forums mobile app
Very fun pale waajiriwa wanapokuwa matajiri kuliko mabosi!!!!! Huku wilayani ukienda ofisi za Halmashauri ndo kuna ndinga kali balaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Out of 32 gb internal storage nimetumia 13gb tu na simu ina ram 3.In short sina makorokoro mengi kihivyo, hata dialing tone natumia ya simu, mie na muziki mbalimbali yaani iko empty Chief!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie ndio naitumia,lakini hivi sasa imekuwa slow sana kwenye internet, shida sio mtandao maana simu yangu ingine ipo poa tu.Je kuna ujanja wa kuifanya iwe kama zamani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la huyu dogo ana mwenzake mmoja , kauli zake si za kistaarabu kabisaaa!!!! .Halafu analeta ubabe na anatuma clip akitukana wadau amkanye huyo rafiki yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yote tisa, kumi ni siku suala la muamala 1xbet kupata ufumbuzi.Siku hiyo naisubiri kwa hamu sanaaaa, hizi app zingine duhhhh!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
At last solution imepatikana,thanks alot @oneonly.Dahhhh! yaani takriban miezi 2 imepita, 1xbet nakula kwa macho.Sasa hivi niko kwenye process ya kukamilisha nijidai kwenye 1xbet .
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo unasubiri nini? Mbona una kipaji cha "kuona" weka bango la "mganga toka Nyanchabakenye" anaona wachawi,anaona"wachafu" anaogesha nyota !!!!! hii nayo "uppercut jab watu chaliii!!! kama Francis Cheka, yaani umetuwezaaaa!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.