SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,380
Kwenye vitabu vya wataalam.
Kwenye vitabu vya wataalam.
Sawa, wataalam wanaoandika kwa interest zao Au facts from the horse mouth?Kwenye vitabu vya wataalam.
Mkuu punguza matango.Hivi kati ya nchi 28 zipo kwa ajili ya taifa moja tu Russia huoni hao ndiyo waoga hayo maneno ya kusema ni mikwara yaliwaponza Georgia na Ukraine walidanganywa na mjomba wao ila kichapo kilipoanza si mjomba wala kaka aliyeingilia hilo sereka matokeo yake majimbo ya Abkhazia Ossetia yakajitangazia uhuru mpaka Leo hii crimea iko Russia mjomba na vibaraka wake kimya
Sasa Wewe Unaijua US Kuliko US Wanavyojijua Wao Wenyewe? Taarifa Zilizopo Kwa Sasa Ndio Hizo Kwamba Bado Marekani Wana Vikosi Vyao Pale Syria. Kuhusu Kuviondoa Vikosi Ulikuwa Msimamo Wa Trump Yeye Mwenyewe Kabla Hata Hajawa Rais Na Jana Tu Katoka Kuzungumza Na Erdogan Kuhusu Hii Ishu. Si Jambo La Kushangaza Hata Hivyo Vikosi Vilivyobaki Vikaongezeka Hapo Baadaye Kutokana Na Hali Inavyoendelea.Kuvipunguza maana yake ushawishi wake maeneo hayo umepungua ndio maana anasaka chimbo lingine. Na ku withdraw troops ni hatua hivyo atatoka mazima.
Hiyo US ya kusoma mainstream na vijigazeti uchwara ndio tatizo. US naijua Vizuri mkuu..sio kwa kuisoma tu..through their operatives..fuatilia Vizuri post kipindi cha kusimikwa kwa DT kuna post niliandika inaonekana ramli ila ndio uhalisia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hakuna ushabiki ila unajua kabisa Russia aliyaswaga majeshi ya mjerumani mpaka kuiteka kabisaHata Hitler aliweza kupigana na kuingia hadi Moscow,Stalin akakimbilia mji mwingine na kusubir hali winter ndo wakawasogeza Germans.Kila nchi ilionja joto ya Hitler bana.Usiongee kishabiki
Sawa.Sasa Wewe Unaijua US Kuliko US Wanavyojijua Wao Wenyewe? Taarifa Zilizopo Kwa Sasa Ndio Hizo Kwamba Bado Marekani Wana Vikosi Vyao Pale Syria. Kuhusu Kuviondoa Vikosi Ulikuwa Msimamo Wa Trump Yeye Mwenyewe Kabla Hata Hajawa Rais Na Jana Tu Katoka Kuzungumza Na Erdogan Kuhusu Hii Ishu. Si Jambo La Kushangaza Hata Hivyo Vikosi Vilivyobaki Vikaongezeka Hapo Baadaye Kutokana Na Hali Inavyoendelea.
Lengo la kuundwa Kwa NaTo ili kukabiliana Na urusiHizo Nchi 28 Ni Zipi. Kama Unasemea NATO, Haipo Kwa Ajili Ya Russia Pekee. Infact NATO Ipo Dhidi Ya Taifa Lolote Lile Nje Ya Muungano Huo. Rejea Libya.
KILA TAIFA LINA KILE LINACHOKIAMINI ILI LIENDELEE KUWEPO KATIKA USO WA DUNIA MFANO ISRAIEL IMEWEKEZA HEAVILY KWENYE ESPIONAGE KTK NCHI ZA KIARABU IKIAMINI NCHI HIZO NI HATARI KWA USTAWI WAKE VIVYO HIVYO URUSI INA HISTORIA NGUMU YA KUVAMIWA KIVITA TANGU ENZI ZA AKINA NAPOLEON BONAPARTE HADI KUIBUKA KIDEDEA KTK VITA KUU YA PILI YA DUNIA NA NDIYO ILIYOPELEKEA URUSI KUINVEST KTK UUNDAJI WA SILAHA KWA RASILIMALI NYINGI KULIKO NCHI YOYOTE DUNIANI NA NDIO NCHI INAYOONGOZA KUWA NA SILAHA NYINGI NA ZA KUTISHA KULIKO TAIFA LOLOTE PIA NDIO NCHI ILIYOJIHAMI KWA UMADHUBUTI MKUBWA KULIKO NCHI YOYOTE MFANO HADI KUFIKIA 1970 URUSI ILIKUWA IMEJENGA NYUMBA 1578 ZENYE UKUBWA SAWA NA WHITE HOUSE KILA MOJA, ZIKIWA MITA ZAKUTOSHA DEEP DOWN SOIL PROFILE ZIKIWA ZIMEFUNIKWA NA REINFORCED COCRETE LENYE UNENE WA FUTI 75 NA MPAKA LEO WAMEJENGA NA WANAENDELA KUJENGA MAELFU YA NYUMBA NYINGI ZA NAMNA HIYO DOWN EURAL MOUNTAIN HIVYO KWA MATAYARISHO HAYA NDIPO UTAONA UTOFAUTI KTK MAENDELEO YA UCHUMI KATI YA TAIFA LINALOTENEGENEZA FLAT SCREEN NA LILE LINALOINVEST KWENYE INTERCONTINENTAL BALISTIC MISSILESUkiona mtu kila siku anatoa vitisho ujue mwoga uyo! Maana kila siku ni Puttin ndiye analalamika na kupiga mikwara kibao wakati wenzake wako kimya wakifanya research na kuandaa mbinu za kukuza Uchumi.
WAKATI MWINGINE WAWEZA KUTA UNASOLVE LINEAR PROGRAMING MBELE YA MTU ASIYEJUA HATA ALJEBRALengo la kuundwa Kwa NaTo ili kukabiliana Na urusi
Mkuu huoni USA akiweka silaha huko Europe atakuwa amewatoa kafara wenzake make itabidi Russia kama ambavyo alishawahi kusema kabla hajashambulia USA atahakikisha Europe na middle east panabaki majivu
maybe he is talking about venezuela,or he could be talking about ukraine,there have been a lot of activities in east ukraine recentry,suggesting that moscow could be planning to take ukraine once US take venezuela,seeing how the US have been claiming that venezuela is in their backyard,so moscow ready to claim Ukraine is in their frontyard
Kumbuka Russia ndiyo anaongoza kumiliki makombora ya nyuklia kuliko nchi yoyote duniani ana kombora lenye uwezo wa kuiteketeza nchi ya ufaransa waeuropean wanalijua hilo wanaliita SATAN
Tukumbushe mkuu kwa kuweka link.Kuvipunguza maana yake ushawishi wake maeneo hayo umepungua ndio maana anasaka chimbo lingine. Na ku withdraw troops ni hatua hivyo atatoka mazima.
Hiyo US ya kusoma mainstream na vijigazeti uchwara ndio tatizo. US naijua Vizuri mkuu..sio kwa kuisoma tu..through their operatives..fuatilia Vizuri post kipindi cha kusimikwa kwa DT kuna post niliandika inaonekana ramli ila ndio uhalisia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona Russia alishepeleka ndege za kijeshi kule Venezuela hata kabla jamaa wa upinzani hajitangaza rasmi kuwa raisi wa mpito.Write your reply...@Nalendwa,kufikia kesho mida hii tutakuwa na uelekeo upepo utaenda vipi,marekani hataangalia UN wameamua nini,na Russia iko mbali mno na venezuela kuweza kusaidia kama alivyofanya kwa syria na isitoshe majirani wa venezuela kama colombia,Brazili wameside na marekani,kwahiyo kama yakilipuka mapigano uwezekana wa maduro kubaki rais ni mdogo mno,so Russia anaweza kutumia hiyo fursa ya marekani kuwa busy venezuela kuweza nae kuweka mtu wao ukraine ili ngoma iwe draw
Mkuu ingawa mimi nipo upande wa Russia lakini Marekani pia wanazo hizo bunker za kujilinda na nuclear bomb.KILA TAIFA LINA KILE LINACHOKIAMINI ILI LIENDELEE KUWEPO KATIKA USO WA DUNIA MFANO ISRAIEL IMEWEKEZA HEAVILY KWENYE ESPIONAGE KTK NCHI ZA KIARABU IKIAMINI NCHI HIZO NI HATARI KWA USTAWI WAKE VIVYO HIVYO URUSI INA HISTORIA NGUMU YA KUVAMIWA KIVITA TANGU ENZI ZA AKINA NAPOLEON BONAPARTE HADI KUIBUKA KIDEDEA KTK VITA KUU YA PILI YA DUNIA NA NDIYO ILIYOPELEKEA URUSI KUINVEST KTK UUNDAJI WA SILAHA KWA RASILIMALI NYINGI KULIKO NCHI YOYOTE DUNIANI NA NDIO NCHI INAYOONGOZA KUWA NA SILAHA NYINGI NA ZA KUTISHA KULIKO TAIFA LOLOTE PIA NDIO NCHI ILIYOJIHAMI KWA UMADHUBUTI MKUBWA KULIKO NCHI YOYOTE MFANO HADI KUFIKIA 1970 URUSI ILIKUWA IMEJENGA NYUMBA 1578 ZENYE UKUBWA SAWA NA WHITE HOUSE KILA MOJA, ZIKIWA MITA ZAKUTOSHA DEEP DOWN SOIL PROFILE ZIKIWA ZIMEFUNIKWA NA REINFORCED COCRETE LENYE UNENE WA FUTI 75 NA MPAKA LEO WAMEJENGA NA WANAENDELA KUJENGA MAELFU YA NYUMBA NYINGI ZA NAMNA HIYO DOWN EURAL MOUNTAIN HIVYO KWA MATAYARISHO HAYA NDIPO UTAONA UTOFAUTI KTK MAENDELEO YA UCHUMI KATI YA TAIFA LINALOTENEGENEZA FLAT SCREEN NA LILE LINALOINVEST KWENYE INTERCONTINENTAL BALISTIC MISSILES