Ubora wa simu aina ya samsung galaxy note 3

Ubora wa simu aina ya samsung galaxy note 3

Out of 32 gb internal storage nimetumia 13gb tu na simu ina ram 3.In short sina makorokoro mengi kihivyo, hata dialing tone natumia ya simu, mie na muziki mbalimbali yaani iko empty Chief!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ram 3gb ndio ila kati ya hio 3gb ipi ipo free?

Nenda setting kisha apps kwenye running apps chini angalia utaona free ram

images
 
Nna note4 mkuu nawezaje kuwek hzo features za note8
J4 ni nzuri ila kama anataka s pen feature hatapata kingine screen resolution ya note 3 ni kubwa 1920×1080 kama sikosei ambayo ni full hd kingine note 3 inaweza kurekodi video hadi 4k.Pia unaweza kuiwekea custom rom ikawa na features zote za note note 8 na ika run android 8 au zaidi mambo ni mengi ila kama unapenda note series chukua note 4 ni nzuri zaidi coz note 8 & 9 bado ni very expensive.Ila pia kama hupendi note series chukua j4 kama mdau alivyokushauri,ila pia kama unapenda flagship na hupendi za ghali kuna hizi note 4 note 5 s6 edge s7 s7edge ila price zake ni above 300k.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom