Ubora wa simu aina ya samsung galaxy note 3

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
2,701
2,000
Habari wakuu.
Baada ya kufatilia sana simu gani ninunue yenye ubora na inayoendana na kipato changu nimeona ni bora ninunue Note 3.
Hapa nimezingatia ukubwa wa betri (3000mAh), RAM, internal storage capacity, screen kubwa lakin pia ukubwa wa screen.

Wataalamu na wenye uzoefu na hizi simu naombeni ushauri au maoni yenu juu ya ubora wa hii simu kabla sijaenda kununua.

Pia naomba maelekezo namna ya kutambua ipi ni Original.

Lakini pia hii simu niipate duka lipi hapa Dar ambapo nitapata kwa bei nafuu kidogo.cc: Chief-Mkwawa
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,086

Bei nafuu kiasi gani mkuu?
 
Tish

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
331
250

Ni nzuri bei inategemea na duka inaweza kuwa 350k au chini kidogo.Tafuta n9005 Qualcomm snapdragon.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
4,403
2,000
Mkuu, Note 3 wakati Samsung karibu wanatoa Note 10? Mi nilikuwa nayo kwa miaka karibu 6, Samsung na android wakasema sitapata tena updates za firmware kwa kuwa imepitwa na wakati, ikabidi niachane nayo. Nikataka kujirusha kwenye Note 7, lakini ikabuma baada ya lile tatizo la battery kulipuka, nikaenda kwa galaxy s8 plus.
Utakuwa na tatizo la updates.
 
Tish

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
331
250
Umaskini mbaya sana Yaani unataka kurudi kwenye NOTE 3? Utakutana na simu ambayo sio mpya hata uikute dukani inakuwa imetumika na ikaleta matatizo ikarudishwa China ikarekebishwa na imerudi sokoni kama mtumba NUNUA HATA J4 LAKI 4 MPYA

Sent using Jamii Forums mobile app
J4 ni nzuri ila kama anataka s pen feature hatapata kingine screen resolution ya note 3 ni kubwa 1920×1080 kama sikosei ambayo ni full hd kingine note 3 inaweza kurekodi video hadi 4k.Pia unaweza kuiwekea custom rom ikawa na features zote za note note 8 na ika run android 8 au zaidi mambo ni mengi ila kama unapenda note series chukua note 4 ni nzuri zaidi coz note 8 & 9 bado ni very expensive.Ila pia kama hupendi note series chukua j4 kama mdau alivyokushauri,ila pia kama unapenda flagship na hupendi za ghali kuna hizi note 4 note 5 s6 edge s7 s7edge ila price zake ni above 300k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ugido

JF-Expert Member
May 29, 2014
421
225

Mungu akusaidie upate original hakuna sumsang zilizokopiwa kama simu za sumsung note yani balaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
morimaghita

Member
Sep 18, 2018
60
125
Hardware ya ndani ni ndogo kwa standard za sasa. Kama unayo unamiliki unaweza ukafanya hivyo ama
ukiipata kwa bei rahisi pia sio mbaya. Ila kununua nyengine kwa bei kubwa sishauri
Mie ndio naitumia,lakini hivi sasa imekuwa slow sana kwenye internet, shida sio mtandao maana simu yangu ingine ipo poa tu.Je kuna ujanja wa kuifanya iwe kama zamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,086
2,000
Mie ndio naitumia,lakini hivi sasa imekuwa slow sana kwenye internet, shida sio mtandao maana simu yangu ingine ipo poa tu.Je kuna ujanja wa kuifanya iwe kama zamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiweka custom rom itakuwa nyepesi zaidi, lakini.si jambo ambalo kila mtu anaweza kufanya.

Pia kama umeitumia muda mrefu sana na kuna apps nyingi itakuwa slow.

Una free ram kiasi gani?
 
morimaghita

Member
Sep 18, 2018
60
125
Ukiweka custom rom itakuwa nyepesi zaidi, lakini.si jambo ambalo kila mtu anaweza kufanya.

Pia kama umeitumia muda mrefu sana na kuna apps nyingi itakuwa slow.

Una free ram kiasi gani?
Out of 32 gb internal storage nimetumia 13gb tu na simu ina ram 3.In short sina makorokoro mengi kihivyo, hata dialing tone natumia ya simu, mie na muziki mbalimbali yaani iko empty Chief!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom