KAKA HII HABARI UMETOA HAIKO SAHIHI husasan unaposema unapanda kwa umbali wa 2 by 3 metres halafu unapata mashimo 1000. hicho kitu hakipo since one acre ina 70 by 70 metres na surface area ya 4900 meter squared. kama unapanda kwa 2 by 3m, utakua na mashimo 575 tu katika acre moja. this means...
TUNAHITAJI WANUNUZI AMBAO WANAWEZA KUNUNUA MATIKITI MAJI KUANZIA TANI ELFU 10 ( SAWA NA MATUNDA 40,000+). TUNAPATIKANA MKOA WA TANGA MJINI MAENEO YA PONGWE. TUNAHITAJI MTEJA AMBAE ANAWEZA KUMUDU KUNUNUA MATUNDA YOTE YALIO KWENYE SHAMBA. TUNAFANYA KILIMO CHA KISASA NA MATUNDA YETU YANAKUWA NA...
NIMEPANDA mananasi acre sita nje kidogo ya jiji la tanga (eneo la kirapula), natafuta soko la mananasi. Mananasi yako vizuri, makubwa na saizi ya kati. tuwasiliane 0718654739 au salim.nelson@gmail.com
wazee!! 2015 we have to change, lets vote for the opposition. lakini muhimu zaidi kwenye katiba tupush for proportional representation. iyo itakua kioko ya siasa za mabavu na kutowajibika.
well, the truth is 3.5 ni pesa ambao wanastahili, lakini la msingi zaidi ni hali ya hospital zetu. ni hatari kama hamna hospital ya serikali nchini saiv ambayo ina machine ya citi scan ( this is very bad shame on the government), bei ya citi scan ni kama vx moja tu!! how stupid is that. madai ya...
Im looking for a business partner to run a fish farming project in tanga region. estimated cash flow is 30 million +. any interested party should contact me through my number 0718654739 or through my email salim.nelson@gmail.com. thank you
i have never used toro to trade the market. but i have meta trade 4 only on the demo version. hey i have to admit sjawahi kukutana na mtu ambaye anatrade forex hapa bongo, so im happy to meet you. we can share experience. so u can contact me through 0718654739, im sure we have a lot to talk...
@prime dynamics, u must be talking about the Nairobi stock exchange because unless you can prove me wrong the DSE ( dsm stock market) is not that competitive across east Africa, so no share price fluctuation for a fact. well, since were talking about buying and selling of shares why not make an...
@ramthods, mzee kua reasonable nahisi unataka kusuggest kua kilimo hakima faida. hamna kitu rahisi duniani, hilo ndo la muhimu. otherwise, msimu uliopita mvua za vuli au short rains nimelima matikiti maji aina ya sugar baby takriban acre tano nimevuna tonne 30+..! kilo moja ya matikiti inavary...
Mzee kwa project kubwa ka hiyo huezi nambie hujui soko liko wapi! lakini kwa vyovyote vile lazima utatoa minimum kuanzia tonne 600+ kwa shamba la acre mia, endapo utapiga dawa za wadudu atlist after every two weeks ( this is for better yield) itaweza kufika tonnes 800. Sjui umepanga kupanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.