Site ya torrent ya Kitanzania

Third Eye

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
373
209
Tsup guys, kuna mtu yeyote anaijua web yenye kutoa torrent za kitanzania?i mean kama movie or music kwa hapa nyumbani? Anijuze tafadhari
 
ishu sio website ya kitanzania...kama ni torrents kumbuka zile zinatengenezwa na mtumiaji wa torrent kama wewe...so mfano una muvi yakitanzania unai convert kuwa torrents then unaupload kwenye site yoyote unayobeba torrents..tatizo ni kuwa site za mambo ya downloads za ki TZ bado hazina soko na ndo maana hata site nyiingi zinazojidai unaweza kudownload music au movie za kibongo ukienda utakuta vitu vya zamaaani ...tena vichhaaache ...hawa update yaani basi tu!!
 
Thanx but nilikuwa nauliza kama kuna torrent index kama isohunt or piratebay but exclusive for torrents from tanzania
 
net yenyewe ya ku-upload iko wapi ? spidi ya konokono.

teh teh jaman c niliskia kuna mkonga?cjui umeanza kazi? Au ndo zile bla bla zetu, but kama kuna seeders wengi hata kama pole pole tunasaidiana ivo ivo
 
teh teh jaman c niliskia kuna mkonga?cjui umeanza kazi? Au ndo zile bla bla zetu, but kama kuna seeders wengi hata kama pole pole tunasaidiana ivo ivo
watu wanapigana vikumbo na vi-modem..mkongo sijui kaa upo na una fanya nini..tough to tell.
 
huyo mtu wa ku seed torrent za kitanzania yuko wapi?? unatakiwa uwe na high uploading speed na komputa yako uiwache wazi muda mwengi wengine wakusaidie.
shida yako movie za kiswahili au muziki??
 
huyo mtu wa ku seed torrent za kitanzania yuko wapi?? unatakiwa uwe na high uploading speed na komputa yako uiwache wazi muda mwengi wengine wakusaidie.
shida yako movie za kiswahili au muziki??

just curiosity, sina upenzi na movie za hapa home, i was thinking siku moja kuanzisha that kind of web
 
na movie za kibongo jee unapakua kutoka website gani::?
 
kwasababu hamna servers wenye d/load upload speeds nzuri (sema bandwith throttling) hapa bongo, uwezekano wa kuwepo torrent site specially ya hapa bongo ni ngumu. kwa sababu kuna public torrent sites, mnaweza ungana say watu wenye interest za music za kibongo mkawa mna share huko

just curiosity, sina upenzi na movie za hapa home, i was thinking siku moja kuanzisha that kind of web

kabla hujajua kuhusu seedboxes, upload:download speed ratio na swarm, huji ukaweza kuweka torrent site. #amjustsaying
 
Back
Top Bottom