Write your reply...Yeah nilikuwa maarufu sana miaka ya 2003-2009 nikawa tena kuanzia 2010-2013 nikawa tena 2014-2016 nilikuwa SAMA, umaarufu ulikuja sababu baba yangu ndo mwenye hile shule.
Write your reply...unajua katika haya maswala kuna kundi la watu wawili kuna mfanya biashara na mjasiliamali, kutokana na hiyo thread yako mimi uyo jamaa na muona alikuwa ni mfanya biashara tu na kama angalikuwa mjasiliamali asingefunga huo mgahawa wake.
Write your reply...ilikuwa mchana mmoja wa 2009 pale nilipo lipa shilingi 300 kuiona timu yangu pendwa ya Man utd kwa mara ya kwanza tulicheza dhidi ya Liverpool, daah sitomsahau Torres a.k.a 'El nino' sema mwisho wa siku nimebaki nakumbukumbu hiyo.
Write your reply...mimi nipo IFM nachukua Bsc tax management ni kozi nzuri yenye masomo mazuri kwa semista zote mbili, jiandae na Buznes math, Buznes law,DS,Microeconomics,CS,Accounting hayo ni kwa semista ya kwanza na pia jiandae kufanya test zenye maswali 60 mpk 80...karibuu sn IFM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.