Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa..

Interest

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Messages
1,832
Likes
3,154
Points
280
Interest

Interest

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2015
1,832 3,154 280
Kipindi msanii huyu ana-hit na ngoma zake zile Latifa na Mapenzi Kitu Gani alifunguka kwamba anampenda Nancy Sumari na anatamani awe hata mkewe wa ndoa.

Kwa namna jamaa alivyokuwa juu, si rahisi kwa mdada yeyote kuchomoa ofa ya kuwa naye. Warembo walimpapatikia sana na ofkoz alitawala wingu la Bongo Fleva. Historia inakumbuka.

Na enzi hizo Nancy ndio alitoka kunyakua ushindi wa Miss World Africa.

Jamaa akashindwa kujizuia. Kila akihojiwa akawa anasema wazi anamzimikia sana Nancy Sumari. Na ndoto zake zitatimia akifanikiwa kumnasa maana lengo lake halikuwa kumchezea bali kumuoa kabisa.

Kama haitoshi, Doggy Man akarekodi wimbo mahususi kwa ajili ya Nancy akafunguka ya moyoni. Ngoma ilihit sana kwa wanaoikumbuka. Iliitwa "Ina maana".

Sikumbuki kama Nancy alizungumzia chochote.

Leo nimemuona Nancy sehemu nikawaza laiti angemkubalia jamaa wawe couple wangekuwaje leo hii? Kama angemkubalia kwa sababu ya umaarufu, wangedumu kweli?

Shubaamita!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2015
Messages
715
Likes
1,238
Points
180
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2015
715 1,238 180
Kipindi msanii huyu ana-hit na ngoma zake zile Latifa na Mapenzi Kitu Gani alifunguka kwamba anampenda Nancy Sumari na anatamani awe hata mkewe wa ndoa.

Kwa namna jamaa alivyokuwa juu, si rahisi kwa mdada yeyote kuchomoa ofa ya kuwa naye. Warembo walimpapatikia sana na ofkoz alitawala wingu la Bongo Fleva. Historia inakumbuka.

Na enzi hizo Nancy ndio alitoka kunyakua ushindi wa Miss World Africa.

Jamaa akashindwa kujizuia. Kila akihojiwa akawa anasema wazi anamzimikia sana Nancy Sumari. Na ndoto zake zitatimia akifanikiwa kumnasa maana lengo lake halikuwa kumchezea bali kumuoa kabisa.

Kama haitoshi, Doggy Man akarekodi wimbo mahususi kwa ajili ya Nancy akafunguka ya moyoni. Ngoma ilihit sana kwa wanaoikumbuka. Iliitwa "Ina maana".

Sikumbuki kama Nancy alizungumzia chochote.

Leo nimemuona Nancy sehemu nikawaza laiti angemkubalia jamaa wawe couple wangekuwaje leo hii? Kama angemkubalia kwa sababu ya umaarufu, wangedumu kweli?

Shubaamita!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa tupo naye mitaa ya makuburi jirani na kanisa la roma tuna kula nae ugali kwa mchicha kwa mama ntilie, naamini na Nancy tungekuwa nae mitaa hii na wala usingemwona huko ulipo muona
 
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Messages
13,356
Likes
22,923
Points
280
Age
26
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2014
13,356 22,923 280
Jamaa tupo naye mitaa ya makuburi jirani na kanisa la roma tuna kula nae ugali kwa mchicha kwa mama ntilie, naamini na Nancy tungekuwa nae mitaa hii na wala usingemwona huko ulipo muona
Huyu si chawa wa Mhonda?
 
Interest

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Messages
1,832
Likes
3,154
Points
280
Interest

Interest

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2015
1,832 3,154 280
Kila girl anaangalia sehem yenye ugali wa maisha k lyn kakimbilia kwa mengi na nancy kakimbilia kwa mhindi neggesti anapaa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ukichunguza kuna utatu flani hivi wa hawa mamiss.. Nancy, Klyin na Faraja.. Wote wamelenga sehemu nzito nzito halafu ni mabestiii... Coincidence?
 
AsajizzleDaGreat

AsajizzleDaGreat

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2018
Messages
267
Likes
327
Points
80
AsajizzleDaGreat

AsajizzleDaGreat

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2018
267 327 80
Lol. Sio lazma umkubali kila anaeku approach😜 Nancy Sumari ni mzuri sana na anajielewa.
Nadhani ww kazia tu hapo kwenye kujielewa kwake hayo ya uzuri kila mmoja ana definition yake.
Nimekutana na Nancy kama miaka mwil ilopita pale NMB hq mpya karib na Srena hotel aisee, trust me kwanza hata sikuweza kumjua kama ni yeye.Uzuri nilokua namuona nao kwenye tv na ule urefu wake aisee ni tofauti kabisaa nilivyomuona.tofauti sanaa.Sio m baya actually lakin ni wa kawaida tu.Kawaida.

Lakin nakubal yule dada alikua anajielewa sana nadhan hata kind of company anayojichanganya nayo pia ni cream brains tofauti na hawa masapwala wengine akina wema.
 
Tajiri mpole

Tajiri mpole

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2018
Messages
791
Likes
1,045
Points
180
Tajiri mpole

Tajiri mpole

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2018
791 1,045 180

Mkuu hawa madadas wote uwaonao kwa Instagram usiombe uonane nao anakwaana.Ni vituko,japo wengine hawaja pishana sana na uhalisia wao kama Jack wa Mengi naona yupo vilevile tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AsajizzleDaGreat

AsajizzleDaGreat

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2018
Messages
267
Likes
327
Points
80
AsajizzleDaGreat

AsajizzleDaGreat

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2018
267 327 80
Mkuu hawa madadas wote uwaonao kwa Instagram usiombe uonane nao anakwaana.Ni vituko,japo wengine hawaja pishana sana na uhalisia wao kama Jack wa Mengi naona yupo vilevile tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaa mkuu.Umenikumbusha pia kama miaka 5 hiv nilikutanaga na Jokate pale IFM kiukwel nilichiweza ku notice ni kwamba huyu dada kama namfaham lakin sikuweza kujua exactly mpaka baada ya kuvuta sana kumbukumbu.Ila pia alikua wakaiwada sana hata kwa kumlinganisha na watoto wa pale chuo.Sio m aya lakin hawapo kama hiv wanavyokuzwa aua wanavyojikuza
 
Tajiri mpole

Tajiri mpole

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2018
Messages
791
Likes
1,045
Points
180
Tajiri mpole

Tajiri mpole

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2018
791 1,045 180
Kabisaa mkuu.Umenikumbusha pia kama miaka 5 hiv nilikutanaga na Jokate pale IFM kiukwel nilichiweza ku notice ni kwamba huyu dada kama namfaham lakin sikuweza kujua exactly mpaka baada ya kuvuta sana kumbukumbu.Ila pia alikua wakaiwada sana hata kwa kumlinganisha na watoto wa pale chuo.Sio m aya lakin hawapo kama hiv wanavyokuzwa aua wanavyojikuza
Basi jitahidi uonane na kale nanaitwa Vmoney daahh aibu,kuna huyo Linnah,Shilole,kuna mtangazaji anaitwa Salma Msangi yaani kama jini alivyojikondea,.Kwakweli umaarufu unawabeba tu.Ila mzee baba Jojo kwasasa kawa mtamu kimtindo tofaiti na miaka hiyo 5 uliyomuona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,272,363
Members 489,924
Posts 30,448,844