Recent content by Mopao 1850

  1. Mopao 1850

    Nimetembea na shemeji yangu

    cku nyingine usituandikie upuuzi,
  2. Mopao 1850

    Kweli nimeamini kuna wanawake wagumu

    ulikosea sana, ungemwacha ale, usimwambie chochote just a lunch, na ulivyompa hela ndo umeharibu kabisa. mapenz sio pesa.
  3. Mopao 1850

    Heshima ya kipekee sana iwafikie Wanaume

    kind of wife material, u know shit and men we face SHIT
  4. Mopao 1850

    Wanaosema fedha isikupe kiburi hawajui nini maana ya kutafuta fedha

    tafuta ata kwa jasho la damu, watu watakula kirahisi tu, kama ulivyokula zao. pesa n matokeo, usifanye fedha n MUNGU. huwez tafuta mwenyewe wala kula mwenyewe.
  5. Mopao 1850

    Ndoto ni noma

    Kuna siku nlikuwa nimelala, nikaota ndoto moja, yaan ilikuwa ni bonge moja la aidia ni kama MUNGU alinishushia, hii ilikuwa aidia MPYA kabisa kuwahi kutokea. cha kushangaza sasa nmeamka asubuhi nimesahau kabisa niliota nini, yani najua kuna kitu niliota lkn ndo hivyo tena nmesahau; back n time...
  6. Mopao 1850

    Hebu mshauri huyu mama

    uyo mtoto wako wa kiume kama ameondoka wala usimtafute, alale mbele, uyu atakuua kwa presha
  7. Mopao 1850

    Hebu mshauri huyu mama

    uyo mtoto wako wa kiume ni rafiki wa karibu sana na shetani, this is too much, ila usipanic, no way out abortion itahusika, au familia itakuwa ni kituko, uyo wa kiume wala usimtafute alale mbele
  8. Mopao 1850

    Waziri Selemani Jafo ashauri kuanzishwa kwa wiki ya nyungu katika kupambana na Corona

    apo kwenye kuongeza nguvu za kiume ndo penyewe, Mshana Jr, ila nadhani mwanaume kama hana hela nguvu ndo zinasuasua kwa sababu ya presha ya empty pocket, au
  9. Mopao 1850

    Waziri Selemani Jafo ashauri kuanzishwa kwa wiki ya nyungu katika kupambana na Corona

    kwa kuwa upepo umebadiika, Serikali ifikirie ili wazo, au unasemaje; mzigo wa COVID kwa sasa sindo habari ya TOWN then tuwe wabunifu, ila nina mashaka mkulu kusema kijana wake kapona covid kuna chumv apo, alipokuwa na kirus haikutangazwa amepona ndo unatangaza, hii ni chai. tuendelee kufata...
  10. Mopao 1850

    Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Mkuu aliyeikimbia nchi, tujifunze aina ya KIONGOZI tuliyenaye
  11. Mopao 1850

    Pato la Taifa lapanda kwa asilimia 7

    and vice verse is TRUE
  12. Mopao 1850

    Kwakweli najiona kama napotea

    ni rahisi sana, jifanyie tathmini ya maisha yako
Back
Top Bottom