Kweli nimeamini kuna wanawake wagumu

Kweli nimeamini kuna wanawake wagumu

Mkuu upo sahihi ,Mimi mwenyewe Mwezi wa Saba huu napambana na demu wa kilokole yaani nimejaribu kila aina ya upambanaji lakini wapi , kila aina ya silaha lakini wapi ,duuu hawa wanawake wanatutesa sana.
Dawa ni barua ya posa na washenga feki! Utakuja kunishukuru mkuu!😂😂😂
 
Siamini kilichotokoea jana, kuna mwanamke amenizungusha sana mwezi wa3 huu, nikaona labda nitumie Nguvu ya Shilingi ya Kitanzania mambo yatakaa sawa, nikamualika Lunch akakubali, nikaona nisiongee sana, nikaziachia chips mayai na kuku ziongee, nikaiachia Saint Anna wine iongee, Nikayaachia maji ya Kilimanjaro ya Baridi yaongee.

Sikutaka kuongea kabisa siku hiyo maana nilishaongea sana bila mafanikio, Nikaamua niiachie pesa ya kitanzania iongee, baada ya kula tukiwa tunapiga story nikaweka Laki5 mezani nikamwabia hiyo itamsaidia kimatumizi.

Cha ajabu nayo alikataa, nikajua labda anaona aibu nikachukua pochi yake nimuwekee ndio akawa mkaliii "HUWEZI KUNIRUBUNI NISHAKWAMBIA SIPO TAYARII! " akaita bodaboda akaondoka zake na laki5 akaiacha.

Kuna wanawake wa ajabu sana.
chaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaai
 
hawa wanawake bado wapo kweli?au mpe tu muda kabla ya wiki kuisha ndio utaamini kama kweli ameikataa io pesa
 
Siamini kilichotokoea jana, kuna mwanamke amenizungusha sana mwezi wa3 huu, nikaona labda nitumie Nguvu ya Shilingi ya Kitanzania mambo yatakaa sawa, nikamualika Lunch akakubali, nikaona nisiongee sana, nikaziachia chips mayai na kuku ziongee, nikaiachia Saint Anna wine iongee, Nikayaachia maji ya Kilimanjaro ya Baridi yaongee.

Sikutaka kuongea kabisa siku hiyo maana nilishaongea sana bila mafanikio, Nikaamua niiachie pesa ya kitanzania iongee, baada ya kula tukiwa tunapiga story nikaweka Laki5 mezani nikamwabia hiyo itamsaidia kimatumizi.

Cha ajabu nayo alikataa, nikajua labda anaona aibu nikachukua pochi yake nimuwekee ndio akawa mkaliii "HUWEZI KUNIRUBUNI NISHAKWAMBIA SIPO TAYARII! " akaita bodaboda akaondoka zake na laki5 akaiacha.

Kuna wanawake wa ajabu sana.
Huyo ndo wakuoa iwapo ni bikra, isije ikawa kwa mwingine anaipeleka mwenyewe.

Mi kuna demu nilijittutumua ivo kwa kununua pombe za bei juu, mwisho wa siku aliniambia hapendi mwanaume anayeonja hata pombe.
 
Kweli wapo wanawake wagumu kuwapata aiseee, nakumbuka kuna mmoja nilifuatilia karibu mwaka mzima.Mpaka nimeamua kumkatia mawasiliano tuu.Ujinga wa hivyo sifanyi yaani mtu mmoja ndiyo akusoteshe miezi kibao hivyo
 
Kweli wapo wanawake wagumu kuwapata aiseee, nakumbuka kuna mmoja nilifuatilia karibu mwaka mzima.Mpaka nimeamua kumkatia mawasiliano tuu.Ujinga wa hivyo sifanyi yaani mtu mmoja ndiyo akusoteshe miezi kibao hivyo
 
Siamini kilichotokoea jana, kuna mwanamke amenizungusha sana mwezi wa3 huu, nikaona labda nitumie Nguvu ya Shilingi ya Kitanzania mambo yatakaa sawa, nikamualika Lunch akakubali, nikaona nisiongee sana, nikaziachia chips mayai na kuku ziongee, nikaiachia Saint Anna wine iongee, Nikayaachia maji ya Kilimanjaro ya Baridi yaongee.

Sikutaka kuongea kabisa siku hiyo maana nilishaongea sana bila mafanikio, Nikaamua niiachie pesa ya kitanzania iongee, baada ya kula tukiwa tunapiga story nikaweka Laki5 mezani nikamwabia hiyo itamsaidia kimatumizi.

Cha ajabu nayo alikataa, nikajua labda anaona aibu nikachukua pochi yake nimuwekee ndio akawa mkaliii "HUWEZI KUNIRUBUNI NISHAKWAMBIA SIPO TAYARII! " akaita bodaboda akaondoka zake na laki5 akaiacha.

Kuna wanawake wa ajabu sana.
Kwani wewe umemwambia unataka nini kwake mkuu?
 
ninamkazia mpaka kesho sijachoka kumsumbua lakini angalau sasa ananitafuta kwahewa kutaka kujua hali yangu
ulikosea sana, ungemwacha ale, usimwambie chochote just a lunch, na ulivyompa hela ndo umeharibu kabisa. mapenz sio pesa.
 
ww ni play boy or

Tafuta mwingne au peleka barua kwao

Siamini kilichotokoea jana, kuna mwanamke amenizungusha sana mwezi wa3 huu, nikaona labda nitumie Nguvu ya Shilingi ya Kitanzania mambo yatakaa sawa, nikamualika Lunch akakubali, nikaona nisiongee sana, nikaziachia chips mayai na kuku ziongee, nikaiachia Saint Anna wine iongee, Nikayaachia maji ya Kilimanjaro ya Baridi yaongee.

Sikutaka kuongea kabisa siku hiyo maana nilishaongea sana bila mafanikio, Nikaamua niiachie pesa ya kitanzania iongee, baada ya kula tukiwa tunapiga story nikaweka Laki5 mezani nikamwabia hiyo itamsaidia kimatumizi.

Cha ajabu nayo alikataa, nikajua labda anaona aibu nikachukua pochi yake nimuwekee ndio akawa mkaliii "HUWEZI KUNIRUBUNI NISHAKWAMBIA SIPO TAYARII! " akaita bodaboda akaondoka zake na laki5 akaiacha.

Kuna wanawake wa ajabu sana.
 
Watu wakishashiba ugali dagaa na mlenda pamoja na maji mengi ya kisimani huwa wanajua kutoa ushuhuda
 
Back
Top Bottom