Pato la Taifa lapanda kwa asilimia 7

Pato la Taifa lapanda kwa asilimia 7

Viva our President! Watu wachache wanataka kuichafua nchi. Eti sukari hakuna mbona hapa Morogoro Nazimbu imejaa tale 1kg Tsh 2000 tu.
 
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amesema pato la taifa limekuwa kwa asilimia 7 kwa mwaka 2019 sawa na ilivyokuwa kwa mwaka 2018.

Dkt. Mpango ameyasema hayo Bungeni mjini Dodoma wakati akiwasilisha makadirio ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2020/2021 na kueleza sekta ambazo zinaongoza kwa ukuaji nchini.

Amezitaja sekta zilizoongoza katika ukuaji ni pamoja na uchimbaji wa madini na mawe kwa asilimia 17.7, ujenzi kwa asilimia 14.1, sanaa na burudani asilimia 11.2, usafirishaji na uhifadhi wa mizigo asilimia 8.7.

Katika hatua nyingine Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai aliikataa hotuba ya bajeti ya fedha na mipango ya kambi ya upinzani kutokana na Waziri Kivuli Mh. Halima Mdee kutokuwepo bungeni wakati baadhi ya wabunge waliokuwa wamejiweka karantini wamerejea bungeni.
Hiyo impact ya kupanda kwa asilimia 7 inaelekea wapi wakati miradi inaendeshwa kwa mikopo na Deni linakuwa na wage bill ilipungu wakati wa uhakiki,Hiyo Trial Balance ya nchi gani.
 
Viva our President! Watu wachache wanataka kuichafua nchi. Eti sukari hakuna mbona hapa Morogoro Nazimbu imejaa tale 1kg Tsh 2000 tu.
Viva should effect the Country Budget Liquidity,Hayo mengine ya uhakiki na kukosa impact to the House hold income ni jini la Kichina
 
kitu kizuri ninachojivunia japo sina pesa mfukoni ni kuwa mwaka jana data za dunia nzima zinaonesha tuliipita Kenya kukuza uchumi and we need to keep it up and keep our strong Presidaa in good health and mood bila yeye tulikuwa nyuma nyuma kila sekta wizi tu!! tuweke target kuwapita Kenya kukuza uchumi kwa miaka mitano mfululizo ya Mkulu tukifanikiwa na tunaweza hawatotushika tena na tutaongeza fursa za uchumi zaidi, hongera serikali
 
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amesema pato la taifa limekuwa kwa asilimia 7 kwa mwaka 2019 sawa na ilivyokuwa kwa mwaka 2018.

Dkt. Mpango ameyasema hayo Bungeni mjini Dodoma wakati akiwasilisha makadirio ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2020/2021 na kueleza sekta ambazo zinaongoza kwa ukuaji nchini.

Amezitaja sekta zilizoongoza katika ukuaji ni pamoja na uchimbaji wa madini na mawe kwa asilimia 17.7, ujenzi kwa asilimia 14.1, sanaa na burudani asilimia 11.2, usafirishaji na uhifadhi wa mizigo asilimia 8.7.

Katika hatua nyingine Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai aliikataa hotuba ya bajeti ya fedha na mipango ya kambi ya upinzani kutokana na Waziri Kivuli Mh. Halima Mdee kutokuwepo bungeni wakati baadhi ya wabunge waliokuwa wamejiweka karantini wamerejea bungeni.
"Amezitaja sekta zilizoongoza katika ukuaji ni pamoja na uchimbaji wa madini na mawe kwa asilimia 17.7, ujenzi kwa asilimia 14.1, sanaa na burudani asilimia 11.2, usafirishaji na uhifadhi wa mizigo asilimia 8.7"

Ukuaji wa pato la taifa kwa mwaka 2018 kuelekea 2019 ndiyo upo, lakini kwa wastani wa jumla ya 7% mara nyingi huwa kuna kurembaremba takwimu. Ukiniambia sekta ya burudani na sanaa hapa bongo eti inafanya vyema zaidi ya kilimo mimi siwezi kukuamini kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli maombi yanasaidia sana kupaisha uchumi tutafika haraka sana kwenye uchumi wa kati hata tusipo lipa madeni ya wafanya biashara
 
Da!Sasa Kama ni sawa na mwaka 2019 imekuaaje?Au ulianguka mwaka gani na kwa asilimia ngapi?

Kuwa mboch sio jibu
Heri nusu shari kuliko shari kamili. Waache wafanye balance kuondoa taharuki kwa jamiu.
 
"Amezitaja sekta zilizoongoza katika ukuaji ni pamoja na uchimbaji wa madini na mawe kwa asilimia 17.7, ujenzi kwa asilimia 14.1, sanaa na burudani asilimia 11.2, usafirishaji na uhifadhi wa mizigo asilimia 8.7"

Ukuaji wa pato la taifa kwa mwaka 2018 kuelekea 2019 ndiyo upo, lakini kwa wastani wa jumla ya 7% mara nyingi huwa kuna kurembaremba takwimu. Ukiniambia sekta ya burudani na sanaa hapa bongo eti inafanya vyema zaidi ya kilimo mimi siwezi kukuamini kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣 🤣 🤣 🤣 eti kuremba!
 
Pongezi kwa mweshimiwa Rais wetu mpendwa kwa kukuza uchumi wetu.

Natumai mwakani utaongezeka maradufu.
 
kitu kizuri ninachojivunia japo sina pesa mfukoni ni kuwa mwaka jana data za dunia nzima zinaonesha tuliipita Kenya kukuza uchumi and we need to keep it up and keep our strong Presidaa in good health and mood bila yeye tulikuwa nyuma nyuma kila sekta wizi tu!! tuweke target kuwapita Kenya kukuza uchumi kwa miaka mitano mfululizo ya Mkulu tukifanikiwa na tunaweza hawatotushika tena na tutaongeza fursa za uchumi zaidi, hongera serikali
Dunia ipi? Ya Lumumba au
 
Wawalipe kwanza interns doctor

California love
 
Pato la Taifa linalokua kila mwaka kwenye makaratasi lina tija gani kwa wananchi wa kawaida? Wafanyakazi hali mbaya, wafanyabiashara kila siku wanalalamikia mazingira magumu ya kufanya biashara!

Wakulima zaidi ya 75% mpaka leo, miaka 59 tangu tupate Uhuru wanategemea jembe la mkono! Halafu eti pato la Taifa linakua kwa 7%! Labda kama linakua kwa hao Wakoloni wetu Weusi wa Ccm.
Tate Mkuu nenda Singida,Katavi,Mpanda na maeneo mengi ukaone namna wakulima wanavyopiga pesa. Mjini dili nyingi ni za wizi sasa wamedhibitiwa. Ni kweli bado ni jembe la mkono lakini watu wanapata pesa na kujenga majumba. Sasa zile habari za kushinda ufipa na kusubiri posho hakuna tena.
 
Pato la Taifa linalokua kila mwaka kwenye makaratasi lina tija gani kwa wananchi wa kawaida? Wafanyakazi hali mbaya, wafanyabiashara kila siku wanalalamikia mazingira magumu ya kufanya biashara!

Wakulima zaidi ya 75% mpaka leo, miaka 59 tangu tupate Uhuru wanategemea jembe la mkono! Halafu eti pato la Taifa linakua kwa 7%! Labda kama linakua kwa hao Wakoloni wetu Weusi wa Ccm.
Jembe la mkono ni tatizo kwani? Unajua hayo majembe ya mikono yamesomesha wangapi? Heka mbili unataka kulima kwa Tractor?
Hujui ni kwa kiasi gani matractor yanavyoharibu ardhi? Kwanza hayo designed for large scale farming tena Cash crops ndio mahala pake. Kilimo unachokidharau kinalisha mpaka nchi jirani, we chauvivu unawaza tractor wanaume wapo shambani saa hii wanapambana.
In short, hujui kitu kuhusu kilimo, kuhusu biashara watu hawataki fair game, wanataka faida zaidi hata ya mala tatu ya uwekezaji huku wakikwepa kodi, hiyo tabia safari hii ni kwa mbinde sana, serikali inamacho na inamulika ile mbaya.
Mengi sana yamefanyika isipokuwa kipofu hawezi ona hata kuwe na Mwanga kiasi gani. Isipokuwa ukisikia kilio ujue mbinyo umekugusa panako.
 
Back
Top Bottom