Mungu simama na mwananchi wa kawaida. Acha polisi wafe tu. Asante kwa kujibu maombi ya mwananchi mapema. Baba yetu ulye juu mbinguni maaskari wako ndio walinzi tosha, wengine miyeyusho baba simama nasi ni katika jina mwanao yesu kristo. Amen
Maridhiano hayajamweka lissu ndani na pia liss mwenyewe hawezi kubali hayo maridhiano ya kijinga. Aliye karibu na huyo mrisya alotairiwa hos ni kama alienda kufanya abortion ale hyo hela alohongwa taratibu asituletee za kuleta nisije kumrogaaaa.
Wabongo mmenishinda tabia. Kumililiki mchepuko ni shughuli, kagari kukamiliki napo pia ni shida, kumiliki mke na watoto changamoto, kumiliki kauwanja ni mbinde tena hadi kumili bunduki jaman. Acha nijimiliki mwenyewe sasa.
Mda mwingne tumieni hata akili za kuvukia barabara kuelewa jambo. Watanzania sisi ni mafala na ungiri hautatuisha. Sip ya nne hadi sasa yaan halipandi kabisaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.