Recent content by montzbryton

  1. montzbryton

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Mujibu wa sheria wamemaliza usaili huku jana. Op Viwanda na Op Magufuli
  2. montzbryton

    Postal/zip code ya Tanzania ni ipi?

    GeoPostcodes.com/Tanzania
  3. montzbryton

    Postal/zip code ya Tanzania ni ipi?

    GeoPostcodes.com/Dar_es_Salaam
  4. montzbryton

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Mungu ni mwema,zoezi limeisha salama safari ni 834KJ Makutupola Dom. Wenzangu wa DSM tunao subiri kupigiwa simu naomba tuwetunajulishana kwenye huu uzi maana unaweza jikuta napigiwa simu marasipatikan nikawa kizani buree sijui kiendeleacho.. :):):):):)
  5. montzbryton

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Mkoa wa pwani leo ndo wanapimwa afya,nipo eneo la tukio Kibaha ila ni mtazamaji tu mpita njia,Dsm ndipo kunaponihusu
  6. montzbryton

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Ni kweli jana degree waliitwa pembeni lakin ilikuwa ni ishu nyingine kabisa ya kimaisha tu
  7. montzbryton

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Sisi tulikesha hadi na mwenge wenzenu dah
  8. montzbryton

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Ndio mkuu yaan tokea tar 21 april ndo tumeanza kuja mpaka leo hii bado hatujamaliza mchakato aisee ila j4 ndo mbivu na mbichi kujulikana wanaosonga mkoani
  9. montzbryton

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Ilala bado watu tumbo joto hakijaeleweka bado ngazi ya wilaya
  10. montzbryton

    Anayejua habari za JKT

    Dip n bachelor
  11. montzbryton

    Anayejua habari za JKT

    Leo ilala wameandika wimbo wa taifa kwa kiingereza + na maswali mengine mengine + plus pamoja na kujielezea vyote in english
  12. montzbryton

    Anayejua habari za JKT

    Cjakusoma mkuu unaamaanisha nn?
  13. montzbryton

    Anayejua habari za JKT

    Leo ilikuwa mbio wilayan kinondon hongera kwa waliofanikiwa kuingia atua inayo fuata
Back
Top Bottom