mchorazombie
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 282
- 114
Hadi leo hii bado ngazi ya wilaya
mhhh! huko ilala nahisi harufu ya figisu figisu na mambo yamkono mrefu.
Hadi leo hii bado ngazi ya wilaya
Nalo neno mkuuuumhhh! huko ilala nahisi harufu ya figisu figisu na mambo yamkono mrefu.
Kulikuwa na sintofahamu ganiJana degree waliitwa kujuwa hatima yao
Ni kweli jana degree waliitwa pembeni lakin ilikuwa ni ishu nyingine kabisa ya kimaisha tuJana degree waliitwa kujuwa hatima yao
[emoji35] [emoji35]Ilala wanazingua sana,baadh ya mikoa wanasubili kuondoka tu...sasa cjuwi tatizo nini!!! Inaboa sana kila siku watu wanachoma nauli
Form Six wanaingia lin kambi???Wakujitolea wataingia makambini wiki mbili baadaya form six.
Tar 5 june ukomo wa kuripotiForm Six wanaingia lin kambi???
okeyyyyTar 5 june ukomo wa kuripoti
kuna habari nimezipata ila sina uhakika nazo wanasema wakujitolea wataenda baada ya mujibu kumalizaWakujitolea wataingia makambini wiki mbili baadaya form six.
kuna habari nimezipata ila sina uhakika nazo wanasema wakujitolea wataenda baada ya mujibu kumaliza
kwan hao form six wanakaaa mda gan kambi????kuna habari nimezipata ila sina uhakika nazo wanasema wakujitolea wataenda baada ya mujibu kumaliza
Kwa kawaida ni miezi mitatu kakakwan hao form six wanakaaa mda gan kambi????
nini kimejiri kakaHii n interview yang ya pili lkn sidhani kama interview zinakuaga za kipuuzi kama hivi kwel nimeamini hizi nafasi bila kua na mtu kupata n kazi but ngoja tupambane mpaka mwisho
Mkuu ulikua umemeza dikshonari? Usaili mgumunupo wilayan huku mkoan ni kujaza nafasi zilizopungua tu kwa ajili ya vipomo taifaHii n interview yang ya pili lkn sidhani kama interview zinakuaga za kipuuzi kama hivi kwel nimeamini hizi nafasi bila kua na mtu kupata n kazi but ngoja tupambane mpaka mwisho
interview mnaingia kimagroup yani mfano degree na diploma mnaingia kwa pamoja afu akuna kuulizwa maswali wala kukagua vyeti wana wanangalia sura zenu tu afu wanawambia mtoke yani simple like that kwel au mm ndo mgeni kwenye haya mambonini kimejiri kaka
kumeza dikshonari ndo nn?Mkuu ulikua umemeza dikshonari? Usaili mgumunupo wilayan huku mkoan ni kujaza nafasi zilizopungua tu kwa ajili ya vipomo taifa
Ah ha ha ha ha ha ha ha ha!!!interview mnaingia kimagroup yani mfano degree na diploma mnaingia kwa pamoja afu akuna kuulizwa maswali wala kukagua vyeti wana wanangalia sura zenu tu afu wanawambia mtoke yani simple like that kwel au mm ndo mgeni kwenye haya mambo