Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mkuu hii ni kwa ma SIERRA MIKE NA SIERRA GOLF wa op kikwete,magufuli na remainders of op,muungano. Ni uhakika bogi la rts int.38 msata so vijana wanywe maji mengi maana hali ya hewa pale msata ni kama semi desert vile. Wakianza ruti za kwenda madesa ni shida

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa op magu sidhani maana mkuu cdf alisema ajira atawapa kipaumbele op za nyuma...tatizo hii ronja haijulikani ni lini na mwezi gani uhakika ingawa nimesikia soon....kama kweli vijana wanywe maji mengi maana bagamoyo itakua kama kwenda chooni tu na kurudi.
 
Naomba nikuulize swali mkuu,hiv kama hujapitia kabisa jkt uwezekano wa kupata nafasi jeshini ni asilimia 0?

sent using iphone 8
 
Yawezekana ukapata nafasi kama itatokea jeshini kuna upungufu wa fani fulani na wenye umuhimu wa haraka,basi unaweza ukaingia jeshini moja kwa moja bila kupitia jkt.Hivyo probality ni 0.4,but njia iliozoeleka ni kupitia jkt ingawa jeshini hakuna mazoea.
 
Kadeti miaka 3??? Maximaum huwa mwaka mmoja bwana...
Tena huwa ni miezi tisa.... Acha uongo
Bro usibishe kitu usichokifahamu. Utaratibu huu mpya uliotolewa ni kwamba kwa elimu ya form six watafanya mafunzo ya officer cadet kwa muda wa miaka 3 ili wakimaliza wawe na degree ya military science. Na kwasasa tma kuna intake mbili zinazoendelea na kozi, intake 62/17 na 63/18 naa senior cadets ni int. 61/17 wanakamisheni mwezi wa tisa uwanja wa sheikh abeid karume. Usibishe kitu usichokijua while haufahamu lolote linaloendelea

Hili kundi linajumuisha hadi graduate au ni kwa form six tu?
 
Form six tu mkuu, graduate ni mpaka usahili utakapotangazwa tena na hiyo itakua ni graduates ambao tauari ni waajiliwa na wako vikosini unless otherwise wahitaji watalaam wa fani mbali mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
ooh shukrani chief....nilidhani hili kundi litajumuisha na wale wataalamu wa fani mbalimbali kama Engineers na madoctors ambao walituma maombi ngome...
 
Bro usibishe kitu usichokifahamu. Utaratibu huu mpya uliotolewa ni kwamba kwa elimu ya form six watafanya mafunzo ya officer cadet kwa muda wa miaka 3 ili wakimaliza wawe na degree ya military science. Na kwasasa tma kuna intake mbili zinazoendelea na kozi, intake 62/17 na 63/18 naa senior cadets ni int. 61/17 wanakamisheni mwezi wa tisa uwanja wa sheikh abeid karume. Usibishe kitu usichokijua while haufahamu lolote linaloendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unamaanisha mwez wa tisa michakato itakuwa inaanza kuhusu kuingia jkt na jwtz nijuvye mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona tangazo ni la mwaka 2016 na huu ni mwaka 2017. loh kuna watu wataingizwa chaka hapa. thread ya siku nyingi halfu mnaendelea kutangaza zilipendwa??!!!1
 
Back
Top Bottom