Nape atuambie watanzania miaka hamsini madarakani ya ccm lakini wameshindwa kuondoa umaskini kwa watanzani ilihali tuna rasilimali nyingi tu,ambazo ndizo zinazo wafaidisha viongozi wa ccm na watoto wao kupitia mgongo wa uwekezaji na wananchi wakiendelea kutaabika kwa nn?
Hivi mnajua takwimu za hii nchi kweli?au mnakurupuka? sasa kwa taarifa yako 20% tu ya watz ndio wanaofungamana na upande wa dini na 80% wao hawana dini ulijue hilo kwanza.Alafu inamaana watumishi wa dini ndio walioshikilia akili na mawazo ya waumini wao?inamaana hao waumini watakachoambiwa na...
Ndugu wana jamvi kuna taarifa zilizonifikia kutoka vyazo mbali mbali vya habari kutoka chuo kikuu cha Dodoma(UDOM) Kitivo cha lugha na sayansi za jamii kuwa kuna mgogoro unaofukuta ndani ya serikali ya wanafunzi(UDOSO) katika kitivo hicho,unaoweza kusababisha kuanguka kwa serikali...
Ndugu wana jamvi nimeshafanya uchunguzi na nimegundua kuwa wabunge waliohusika kumtoa kawiche ni hawa hapa
1.Segahimbi Kubwayo
2.Kisi lukuba
Hawa ndio watetezi wa ufisadi tuwaogope kama ukoma
Dah! pole sana Kawiche sisi wanafunzi tunakukubali sana hasa unavyopambana kuhakikisha mikopo yetu inakuja kwa wakati lakini nakutabiria kuja kuwa kiongozi wa kuigwa Africa endelea kupinga ufisadi hata kama upo nje ya hiyo serikali uchwara.
Naomba nianze kwa kusema kuwa mfumo wa vyama vingi unaoongozwa na demokrasia ya uwongouwongo ndio chanzo cha matatizo ya kiuchumi na hata migogoro mbalimbali inayopelekea kumwagika kwa damu, katika nchi zinazoendelea hasa Afrika.Sasa naweza kusema imefika wakati tukubali kuwa ni bora udikteta...
Naishauri kamati kuu kuamuru kuundwa kitengo cha vijana makini,wasomi wa IT na wenye uwezo wa kupambana kwa hoja na wale wote wanaojaribu kuweka propaganda chafu za kuchafua chama au viongozi wa chama ili viongozi watumie muda mwingi kukijenga chama kwa utulivu kwa kuibua mambo machafu...
ZZK ni hatari sana ndani ya chama kwa usaliti wake wa waziwazi kwa chama.Ushauri wangu kwa kamati kuu ni kama ifuatavyo;
1.ZZK asifukuzwe uwanachama sasa,ila avuliwe vyeo vyake vyote awe mwanachama wa kawaida tu na ubunge wake.
2.Mwaka 2015 ZZK asipatiwe nafasi ya kugombea nafasi yyoyote kupitia...
OK! twende kwa hoja;kutokana na hoja zako mimi nina mashaka na uelewa wako na unachokiandika kama ifuatavyo;
1.Unasahau kuwa wabunge wamechaguliwa na wananchi ili kuwawakilisha na sio cuf, sasa katika jambo lolote linalogusa maslahi ya wananchi lililojadiliwa bungeni si la chama ni la...
Mimi nilishasema nape hana uwezo kabisa wa kujenga hoja yeye anafikiri kuropoka na kupayuka kama anahubiri ndo kukijenga chama kumbe anakibomoa coz wa tz wa siku hizi hawapo kama anavyofikiri.Sasa nape atuambie watanzania, migogoro kati ya serikali ya ccm na makundi mbalimbali ya kijamii iliyo...
Kiukweli kabisa hii serikali ya ccm inanitia kinyaa na kuhisi kutapika, eti kila hoja ya msingi na yenye mwelekeo wa kusaidia taifa wao wanapinga na kuanza kujitetea kwa hoja nyepesi tena zisizo na maana kwa hiyo mnataka kusema na Mengi nae ni CHADEMA? Sasa kwa staili kama hii wananchi tukiamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.