kimeta cha ufisadi
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 398
- 70
Je ni mwanasiasa gani aliye vunja rekodi kwa kusemwa kwa mabaya na media za nchini mwetu?
Mwigulu nchemba
Kwa hili jibu nafikiri linatosha kwa atakae jibu vinginevyo atakuwa mnafikiMwigulu nchemba
Aliyesemwa vibaya kwenye media simjuwi
Aliyesemwa vibaya kwenye media simjuwi
umethibitisha we ni div 5
1.mwigulu nchembazitto kabwe. Msaliti anayetakiwa kuingizwa kwenye kitabu cha guinness.
1.mwigulu nchemba
2.zito zuberi kabwe.