Nape sasa amtaka Mbowe ajiuzulu

Nape sasa amtaka Mbowe ajiuzulu

Shinyanga.Katibu wa Itikadi na Uendezi wa Chama Cha mapinduzi (CCM),Nape Nnauye amemtaka Kiongozi wa Upinzani Bungeni,Freeman Mbowe kujiuzulu nafasi hiyo mara moja kwa sababu ameshindwa kuiongoza kambi hiyo.

Wito huo uliutoa mjini hapa Ijumaa jioni alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara ya siku Nne ya Katibu Mkuu wa Chama hicho, Abdulrahman Kinana katika mkoa huo.

Nape alisema vurugu zilizotokea hivi karibuni Bungeni ni uthibitisho wa wazi kuwa,Mbowe ameshindwa kuiongoza kambi hiyo kwa kuwa kabla yake hakukuwahi kuonekana fujo na vurugu kama hizo katika chombo hicho kinachoheshimika.

Alisema udhaifu wa Mbowe katika kuiongoza kambi hiyo ndiyo unaosababisha ishindwe kufanya kile ambacho Watanzania wanakitarajia kutoka kwa wapinzani.

Alisema wanasiasa ambao wanasababisha na kushabikia fujo na vurugu hawafai kwa madai kuwa wanaipeleka nchi mahali pabaya.

Hata hivyo, alisema hilo halitafanikiwa kwa sababu Serikali, CCM na Watanzania wapo makini dhidi ya mtu yeyote anayepanga kuwachonganisha. Aliishangaa Chadema kwa kushinikiza wabunge waongezwe kwenye Bunge la Katiba huku ikitaka wengi wa hao watokane na wanasiasa.

“Chadema inataka wawakilishi wa wakulima wawe kumi tu wakati wakulima ni asilimia 80 ya Watanzania wote. Hivi kweli wana lengo la kuwatetea Watanzania au maslahi binafsi tu,?”alihoji Nape.N

nape waliwataka wananchi kufanya uamuzi wa busara wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwakani na Uchaguzi Mku

Hivi ni kauli ipi ya Nape iliyowahi kuzaa matunda ya utekelezaji wa vitendo?

Huyu kijana hakomi tu na siasa zake zisizo na mashiko?
 
Mwambie ajiuzuru kwanza yeye ukatibu uenezi wa CCM. Nilimsikia pia akisema kuna wabunge wengine wanapoingia bungeni wanakuwa wameshakunywa viroba, nadhani angebanwa awataje hadharani hawa wanaokunywa viroba kabla ya kuingia bungeni.

Atakuwa anamsema yule mbunge wa ccm geita, sijui anawakilisha jimbo gani, viroba tangu asubuhi.
 
Mbowe will never make it to statemanship.
Kubishana bungeni na kuongoza fujo imemharibia sifa ya kuwa cool headed in times of crisis.

CHADEMA imeanza kuwa reduced to a party of liquor and illicit puff smoking representatives who use more brawn tha brain in the august House.

Ndugu huwa nafurahishwa mara nyingi na objective contributions zako lakini leo sijui kitu kimekutokea. If someone has hijacked your ID and hence been able to write such hydra headed disgusting and fish words, then you are forgiven. However, if it's you I have known since I came on board in this forum, you are not fare to your conscience and not fare to Tanzanians who aspire to see Tanzania on its own feet. Tanzania needs mature and fare politicians who are full of patriotism. All masters of our bunge -speaker, deputy and lukuvi do not have such pre-requisites and that's why they laboring prejudice and outdated politics instead of tolerance, wisdom and leadership. All the ugly occasions in the bunge hinges into their shoulders. Tanzania will be heading to catastrophic mode of operandi due to the ego of these personalities and their supporters. What do you gain by supporting people who do have any iota of wisdom and inspirational leadership? How a sensible person support Nape Jr who lacks profession except lies and manipulations?
 
Mimi nilishasema nape hana uwezo kabisa wa kujenga hoja yeye anafikiri kuropoka na kupayuka kama anahubiri ndo kukijenga chama kumbe anakibomoa coz wa tz wa siku hizi hawapo kama anavyofikiri.Sasa nape atuambie watanzania, migogoro kati ya serikali ya ccm na makundi mbalimbali ya kijamii iliyo ibua fujo mbalimbali nchini,mfano makundi kama ya wanafunzi,walimu,madaktari,wakulima,wafugaji,nk ni viongozi wangapi wa ccm na serikali walijiuzuru?.Nape atuambie wale viongozi walio na kesi na wanaotuhumiwa kwa ubadhirifu wa matrilioni ya fedha na rasilimali nyingine pamoja na wauza unga ni viongozi wangapi wa ccm na serikali wamejiuzuru?.Kinana katibu wa ccm anatuhumiwa kwa uharamia wa tembo mbona nadunda nae?
 
Shinyanga.Katibu wa Itikadi na Uendezi wa Chama Cha mapinduzi (CCM),Nape Nnauye amemtaka Kiongozi wa Upinzani Bungeni,Freeman Mbowe kujiuzulu nafasi hiyo mara moja kwa sababu ameshindwa kuiongoza kambi hiyo.

Wito huo uliutoa mjini hapa Ijumaa jioni alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara ya siku Nne ya Katibu Mkuu wa Chama hicho, Abdulrahman Kinana katika mkoa huo.

Nape alisema vurugu zilizotokea hivi karibuni Bungeni ni uthibitisho wa wazi kuwa,Mbowe ameshindwa kuiongoza kambi hiyo kwa kuwa kabla yake hakukuwahi kuonekana fujo na vurugu kama hizo katika chombo hicho kinachoheshimika.

Alisema udhaifu wa Mbowe katika kuiongoza kambi hiyo ndiyo unaosababisha ishindwe kufanya kile ambacho Watanzania wanakitarajia kutoka kwa wapinzani.

Alisema wanasiasa ambao wanasababisha na kushabikia fujo na vurugu hawafai kwa madai kuwa wanaipeleka nchi mahali pabaya.

Hata hivyo, alisema hilo halitafanikiwa kwa sababu Serikali, CCM na Watanzania wapo makini dhidi ya mtu yeyote anayepanga kuwachonganisha. Aliishangaa Chadema kwa kushinikiza wabunge waongezwe kwenye Bunge la Katiba huku ikitaka wengi wa hao watokane na wanasiasa.

“Chadema inataka wawakilishi wa wakulima wawe kumi tu wakati wakulima ni asilimia 80 ya Watanzania wote. Hivi kweli wana lengo la kuwatetea Watanzania au maslahi binafsi tu,?”alihoji Nape.N

nape waliwataka wananchi kufanya uamuzi wa busara wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwakani na Uchaguzi Mku
Nape! Mh JK sio tuu ameshindwa kuongoza nchi, bali na Chama chake pia. Mbona aambiwi ajiuzulu?
 
Huyu mpuuzi angojee majibu watu wakisha ingia huko wanakopita kufuta nyayo ndiyo atajua kimbunga kinaitwaje Kwa kilugha
 
Bila kutumia mabavu mbowe hana hoja nyingine ya kutumia kwenye uongozi wake.

Kama mkuu wetu kukubali ana majina ya wauza unga lakini hayataji wala kuwachukulia hatua.
siku zote mzalendo anaposhindwa huomba ushauri na msaada
 
Mkuu Tanganyika TANU huwa nasema siku zote kuwa Nape Nnauye ni mlevi. Akina Sofia Simba wameporomosheana matusi ya nguoni na kina Anne Kilango utadhani sio akina mama tena wasomi. Wametamkiana hata mambo wanayoyafanya na hao vigogo wanaowawezesha ku-achieve political goals zao. Mambo ya sirini pamoja na tupu za binadamu zimetamkwa na kina mama hawa kisa UWT Shyrose bhanji na Sofia Simba waliporomosheana matusi hadharani. Huo umoja wao wa mizoga wanaouita UVCCM watu wametoana ngeu, wametukanana na wametaka kutoana roho. Hata sasa hawaaminiani. Nape Nnauye hakuona haja ya kumwambia Mwenyekiti wake ajiuzulu?

Hv Nape inakuwaje cku hz hatumckii akizungumza kuh Lowassa? Ameufyata?
 
CHADEMA ipo juu, NAPE hajitambui hana hoja, muulize gamba la LOWASSA limeishia wapi? walitumia chopa kuzunguka nchi nzima kwa kodi zetu, na hakuna alilofanya? wajiuzuru CCM wote MATAPELI, MALAGHAI, MAFISADI MAKUBWA HAYA!. Mtachanganyikiwa hadi mkome, CDM haikamatiki msio na hoja kaeni kimya.
 
niuhuru wa mawazo na fikira tu! nape ni mmoja wa wasaliti wanaolisaliti taifa hili na wananchi wake kwa kuweka mbele maslahi yao binafsi.....kwa kifupi jamaa ni mtafutaji tu....si mpigania haki za wanyonge....aachane na mbowe kabisa kwani hata rais anajua kuwa mbowe ni kiongozi si kama yeye!
 
Lakini siku anaondoka mbowe madarakani labda cdm ife kwamba kile chama ni chake hakuna mtu wa kumwambia kitu ndani na nje ya chadema ,jamani cdm ni ya mbowe.
Nimekukubali dada wa SIMIYU ila nashindwa kutofautisha kati ya NAPE na wewe nani amemzidi mwenzake kiakili?
 
I hate NNAPE NAUYE AND I MEAN IT FROM HIS POOR ARGUMENT,MADHARA YA MADARAKA YA KUPEANA SO LON AS UMETOKEA KWENY SYSTEME.
 
Ndugu huwa nafurahishwa mara nyingi na objective contributions zako lakini leo sijui kitu kimekutokea. If someone has hijacked your ID and hence been able to write such hydra headed disgusting and fish words, then you are forgiven. However, if it's you I have known since I came on board in this forum, you are not fare to your conscience and not fare to Tanzanians who aspire to see Tanzania on its own feet. Tanzania needs mature and fare politicians who are full of patriotism. All masters of our bunge -speaker, deputy and lukuvi do not have such pre-requisites and that's why they laboring prejudice and outdated politics instead of tolerance, wisdom and leadership. All the ugly occasions in the bunge hinges into their shoulders. Tanzania will be heading to catastrophic mode of operandi due to the ego of these personalities and their supporters. What do you gain by supporting people who do have any iota of wisdom and inspirational leadership? How a sensible person support Nape Jr who lacks profession except lies and manipulations?
Mkuu Bigaraone asante kwa compliments ambazo naona kama ni kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa!!

It is my ID alright na nina kila sababu za kutetea kile nilichopost.
Kwanza mkuu ni vtema ukajiweka katika sehemu ya kuandika kwa usahihi na kwenye red naomba uyasahihishe ili uweze kueleweka kikamilifu.
Pili, pamoja na kueleweka vizuri ulichomaanisha katika bandiko lako , it is full of cliches and incomplete phrases that are out of context.

Tatu , maoni yangu sasa , ni juu ya yale yaliyotokea bungeni.
No doubt Naibu Spiker alikosea ,hata kama si kwa kutetea kanunu za Bunge tu , hata kwa kujireduce into political bickering na mpinzani wa kisiasa Bungeni.
Lakini pamoja na yote , pale Bungeni Naibu Spika alikuwa ameshika mpini, no question about that.
Kwamba hakutumia mpini huo kwa busaraa , nidhahiri, lakini hilo nisuala jingine.

wa KUB, Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mh Mbowe na ye kujishusha na kuwa kibri ya kujaribu na kupambana na mamlaka ya Bunge iliyokuwa chini ya Naibu Spika wakati hupo, ni ukosefu wa busara.

Pengine Mbowe angekubali suala simple tu, kukaa chini, pengine wale wasio na busara kabisa kama kina Sugu, tusingewaona kwa vitendo vyao.

There are always two sides of the same coin, na kwa wewe na bandiko lako its obvious ni mnazi wa CDM, while I am not.

Tabia iliyojionyesha pale bungeni, ni sawa kabisa kama Nape alivyo ielezea.
Mimi sijui mizania na kiwango chako cha "patriotism" kama unvyoiweka, lakin even when the Devil speaks the Truth-it will remain to be the truth.

It takes a mad man kutetea tabia iliyotokea Bungeni, tabia za vilabuni na sehemu ambazo mtu anauweka utu wake rehani

Tatizo lako you are overly biased in thinking, acting and also writing.

Last edited by a moderator:
Shinyanga.Katibu wa Itikadi na Uendezi wa Chama Cha mapinduzi (CCM),Nape Nnauye amemtaka Kiongozi wa Upinzani Bungeni,Freeman Mbowe kujiuzulu nafasi hiyo mara moja kwa sababu ameshindwa kuiongoza kambi hiyo.

Wito huo uliutoa mjini hapa Ijumaa jioni alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara ya siku Nne ya Katibu Mkuu wa Chama hicho, Abdulrahman Kinana katika mkoa huo.

Nape alisema vurugu zilizotokea hivi karibuni Bungeni ni uthibitisho wa wazi kuwa,Mbowe ameshindwa kuiongoza kambi hiyo kwa kuwa kabla yake hakukuwahi kuonekana fujo na vurugu kama hizo katika chombo hicho kinachoheshimika.

Alisema udhaifu wa Mbowe katika kuiongoza kambi hiyo ndiyo unaosababisha ishindwe kufanya kile ambacho Watanzania wanakitarajia kutoka kwa wapinzani.

Alisema wanasiasa ambao wanasababisha na kushabikia fujo na vurugu hawafai kwa madai kuwa wanaipeleka nchi mahali pabaya.

Hata hivyo, alisema hilo halitafanikiwa kwa sababu Serikali, CCM na Watanzania wapo makini dhidi ya mtu yeyote anayepanga kuwachonganisha. Aliishangaa Chadema kwa kushinikiza wabunge waongezwe kwenye Bunge la Katiba huku ikitaka wengi wa hao watokane na wanasiasa.

"Chadema inataka wawakilishi wa wakulima wawe kumi tu wakati wakulima ni asilimia 80 ya Watanzania wote. Hivi kweli wana lengo la kuwatetea Watanzania au maslahi binafsi tu,?"alihoji Nape.N

nape waliwataka wananchi kufanya uamuzi wa busara wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwakani na Uchaguzi Mku
NEPI NEPI ya kufutia mtondoo wa watoto CCM!! NEPI iliyochafuka!! inanuka daima!!
 
Zingine unaleta porojo sasa mkuu hakuna hoja ndani yake nikuhangaika tu.
hawezi kujiuzulu hutaki jitupe ghorani ni hili tu mmeliona la kumfanya ajiuzulu.mbowe anaweza kuwa kilaza lakini mbona ccm imezungukwa na mataahira kila kona hamuwaombi kujiuzulu.
 
Back
Top Bottom