Kimenuka udom

Kimenuka udom

Hebu soma bila kukurupuka mkuu sijasema bunge ndio limechunguza nimesema kamati iliyoundwa na bunge.

ok fine...
ilitumia kiasi gani kama gharama kuchunguza hio milion1
 
Umesahau wewe ni mama yangu mzazi?

Ndugu wana jamvi nimeshafanya uchunguzi na nimegundua kuwa wabunge waliohusika kumtoa kawiche ni hawa hapa
1.Segahimbi Kubwayo
2.Kisi lukuba
Hawa ndio watetezi wa ufisadi tuwaogope kama ukoma
 
Hao ndio viongozi wajao wanaopinga ufisadi kwa nguvu zoooote.
 
Hela zilizobaki mtafuteni snura aje awaimbie MAJANGAA na kuwapepea kwani chuo nacho ni MAJANGA MATUPU
 
Kimenuka Udom?? Mi nilidhani wamegoma kwa kucheleweshewa boom kumbe ulaji wa Mil 1 za serekali ya wanafunzi unapiga headlines bure.
 
Shida ni kuwa serikali imegeuza maeneo yote ya taaluma nchi hii kuwa ya siasa!
 
Mleta uzi ameleta mada kuhusiana na mgogoro serikali ya wanafunzi Udom kitivo cha Sayansi ya jamii.Sasa nauliza suala la udini limekuja vipi hapa?.Ndugu zangu kwa nini kila sehemu ikiwa na watumishi waislamu hata watatu mbele ya wa madhebu mengine hata ishirini bado Waislamu wataonekana wengi?.Kabla Udom haijahukumiwa kwa udini anzeni kufanya tafiti kwenye vyuo vyote vya umma nchini halafu mtulee majibu.Ndugu zangu tuijenge Tanzania yetu yenye amani,utu na kuthaminiana.
 
Kawaulize Tunisia ndio wanajua kama wanafunzi ni wa kupuuzwa kwa kigezo cha uanafunzi au la kwa taarifa yako wanafunzi ni jeshi la pili la nchi yoyote baada ya majeshi rasmi ya nchi na ni jeshi lenye nguvu zaidi ya majeshi ya dola. Sasa kwa mtu mwenye akili hawezi kizipa kisogo habari zinazohusu wanafunzi kwa sababu tu ni wanafunzi
sijawadharau wanafunzi maana hata mimi nimesoma chuo chenye migomo kuliko chuo chochote nchini, ila pointi yangu ni kuwa serikali nyingi za wanafunzi vyuoni ni mamluki wa vyama vya siasa
 
Back
Top Bottom