hizo taarifa za kusikitisha, pole mwanakwetu. La Bambo limevuma kutokana na umaarufu wake. Japo nahisi, kwa siku hiyo inawezekana ajali zilikuwa kadhaa, na majeraha makubwa zaidi. Ni tatizo kubwa zaidi ya inavyodhaniwa. Kukosekana kwa mkakati maalumu kulidhibiti, je, ni kwa sababu tumejenga...