Maumbile na tabia ya mtu

wewe uliyetoa hii thread, inaelekea wewe ni shallower thinker, na ndio maana wakati wenzako wanatafakari namna ya kuondoa mgawo wa umeme, wewe umejitahidi kulifikiria hili,
 
Me nimenote kwa watu wafupi,ni wabishi,waongo,misifa,wajeuri na wasiopenda kupitwa na kitu! Ni kweli ndivyo walivyo watu wafupi. Sijui kwa watu warefu au wastani. Mia!!!
Ili tuseme huyu mfupi na tunajiridhisha kuwa huyu ni mfupi, anatakiwa awe na urefu wa kiasi gani? (cut of point ni mm au cm au m ngapi?)
 
wewe uliyetoa hii thread, inaelekea wewe ni shallower thinker, na ndio maana wakati wenzako wanatafakari namna ya kuondoa mgawo wa umeme, wewe umejitahidi kulifikiria hili,

he is right, though he may be incorrect on his conclusion.! Ndugu yangu JF ni kila kitu sio lazima siasa tu hata social issues pia ,pole kama we ni mfupi na maelezo yake yamekuudhi.
 
Tusiwe na mawazo ya kujielekeza kwenye kuwadhania watu vibaya. I think watu wafupi sio rahisi kuonekana hilo hupelekea kukosa haiba katika jamii ndio maana wengine hukosa uvumilivu na kuwa kama wanavyonekana. Mbona viongozi kibao 'mapipiro' ila hawana hasira hizo.
 
mie navyojua ni kwamba wanaume warefu wengi wao ni vishoiya, malaya, hawana utu hata tone, sio waaminifu kabisa, hawafikirii mbali, akili zao ni fupi mno, wanapenda mzaa kupita kiasi, wavivu, wababaishaji, matapeli, hawajui mapenzi, wengi wao hawajaenda shule yaani sio wasomi, wambea, wanafki, wengi wao wameolewa na wanawake wanapelekeshwa, wakiwa makazini mwaowalipuaji wa kazi,
wengi ni mafala, wanaoaoa maranyingi, ya nikiwatafakari napata kichefuchefu khghaaaaa aaaa bwaaaaa!
 
wewe uliyetoa hii thread, inaelekea wewe ni shallower thinker, na ndio maana wakati wenzako wanatafakari namna ya kuondoa mgawo wa umeme, wewe umejitahidi kulifikiria hili,

Namshangaa huyu jamaa aliyeanzisha kamba hii, angejua sie wengine wafupi lakini tunaitwa TALL kwa ajili ya uwezo wetu? Kwanza hana hoja anawaza kwa kutumia cameroun(GB-PM)
 
sehemu za katikati za wanawake mara njingi ukubwa wake hufanana na ukubwa wa midomo yao
 
Back
Top Bottom