NSSF set to generate 300MW from sisal | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NSSF set to generate 300MW from sisal

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mkora, Sep 23, 2011.

 1. M

  Mkora JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 360
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  The National Social Security Fund (NSSF) has said it will install a power plant which would generate 300 Megawatt to the national grid beginning December this year.

  Speaking to a meeting organised by the Tanzania Editors Forum here, the NSSF Director General, Dr Ramadhan Dau, said the fund intends to invest in power sector in order to arrest the on power shortage facing the country.

  He said at the moment the Fund officials are in France to negotiate on the purchase of the plant, adding that the machine is expected to arrive in Dar es Salaam next month or early November.

  According to him it will be installed by experts from the country of origin in collaboration with their local counterparts.

  Dr Dau revealed that plans to purchase the plant started back in 2010 after officials of the Fund visited Malaysia to study various issues on power sector generation.

  He said no nation can make progress without reliable power supply to run development operations.

  For his part, the Managing Director of Katani Industries, Salum Shamte, urged farmers to increase cultivation of sisal which is used as an alternative source of power generation.

  He said the plant can be grown with other crops such as maize, cashew nuts without any problem. He further noted that apart from power generation, sisal can be used in making many things such as baskets and fertilisers.

  Shamte explained that on hectare of sisal can generate up to 1m/- depending on the activities one is engaging on, adding that farms for cultivation are available in various sizes in many parts of the country.

  My Take mbona pesa zetu za mafao wanataka kuzifanyia najaribio katika kila mradi ?

  Hivi kuna nchi yeyote iliyo huo mtambo mkubwa kiasi hicho maana risk hapo ipo mara mbili kwanza kwenye mvua pili kwenye mavuno
  Kama ni kuwekeza ni bora kwenye mitambo ya gesi au Coal
   
 2. k

  kondoo wa bwana Member

  #2
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Daraja letu vipi?
   
 3. majata

  majata JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Vp watatuwekea gawio la faida kwenye mafao yetu? Au
  Hiyofaida watakayopata itakuwa mali ya nani? Kwakuongeza umeme bigup.
   
 4. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  hebu nipeni maelekezo power source ya namna hiyo ipo vipi?
   
 5. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hii ni sawa ila ni kweli hawa NSSF wanapesa zetu nyingi sana halafu kinachonishangaza wao wanafanya biashara kubwa kubwa tu kila siku wanapata faida lakini sisi wanachama hatuna faida hata hiyo riba wanayodai wanaweka haionekani kama vile haitoshi ikifika wakati wa kutaka zichukua pesa zetu wanamizengwe mingi na process kibao...kwanini lakini hawa jamaa.
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Iyo SISAL jamani iko ya kutosha mpaka mnadiriki kununua mitambo iyo ya 300mw
  Alafu gawio jamani ni la msingi bse ela zetu mnaziziungusha alafu tunaambulia patupu
   
 7. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  HAKUNA umeme hivyo nguzo zi poteza time[​IMG]
   
 8. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,994
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  Hii habari imeniacha na maswali kuliko majibu...mwandishi ameshidwa kutueleza hiyo mitambo ya NSSF itatumia nini?
   
 9. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2011
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu heading ya mtoa mada insema "...from sisal..". Kwa uelewa wangu juu ya hili ni kwamba mabaki ya katani yanatumika kutengeneza biogas inayotumika kuzalisha sasa huo umeme. Mpaka sasa hao jamaa wa Katani Limited ya huko Tanga wana mtambo mdogo unaozalisha umeme kwa njia hiyo.
   
 10. Z

  Zamazamani JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2011
  Joined: Jun 13, 2008
  Messages: 1,624
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Ndoto........! Ziko wapi zile megawati 87 za ngeleja?
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  Sisa ipo ya kutosha sana Morogoro kule kilosa kuna mashamba kibao tu ya mkonge, Tanga yapo kibao tu na kweli huko Tanga kuna shamba lina zalisha umeme wake wenyewe kwa kutumia gesi ya mkonge. Ni mpango mzuri ambao unaweza nufaisha hata wakulima wa mkonge ingawa sijaona mlalahoi anashamba la mkonge mengi ni yaliyokuwa ya mamlaka ya mkonge na mengine yalinunuliwa na Sumaria Holdings na yeye nasikia aliyauza, mengine ndo haya sasa yapo chini ya Mohamed enterprises. Mashamba ni makubwa sana. ukifika Kilosa Kuanzia Mbwade, Kimamba, Madoto, Chanzulu, kuelekea dumila, kilosa penyewe kivungu huko kote ni mashamba ya mkonge tuuu, NSSF wakiwa serious wanweza wakafanya biashara nzuri sana.
  LAKINI NSSF mkumbuke mna pesa yangu ya almost TEN yrs sasa, mnaitumia bila mimi kupata faida yoyote ile hata interest ya shs 1 sidhani km ntapata. NSSF mnapata faida kubwa sana kupitia jasho langu lkn hamnijali, wala kuthamini jasho langu, nasikitika kwamba sifahamu hata kwa nini pesa yangu hamnipi atleast hata robo yake! Nyumba mnazouza mnauziana wenyewe tuu, wanachama tusio na sauti wala HAKI tunasoma kwenye magazeti tu! Ningependa sana km na mimi mvuja jasho ningefaidika na hii miradi, kwa kuwa pesa yangu mnaitumia kwa nini msinigawie HISA kwenye moja ya miradi yenu? NSSF tafadhari nifikirieni mimi mwanachama wenu.....
   
 12. m

  monga magagura Member

  #12
  Sep 27, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  it sounds nice. Ila hilo la kuwepo mkonge wa kutosha ni la kutazamwa kwa jicho la pili. Je uwepo huo ni matokeo ya kukosekana kwa soko, hivyo kuna watu wameamua kujitengenezea soko kupitia umeme wa sisal.!? Ni hisia tu
   
Loading...