kama ni kweli jinga kabisa ilo maana ana halalisha katoto kaendelee kugegedwa na uyo jamaa kwani ndo kwenye uwezo kumlipia iyo faini. Afungwe tu ili wababe wakamzibue chemba
mkuu ili ni janga. inabidi tumuombe sana mungu kwani unaweza kuta uyo demu wewe unamsamini lakini pembeni ana kabasha kake kanamfukua taratibu, na uyo basha wake anaedemu au mke ambaye amfukui kwa kumuheshimu wakati huohuo uyo demu/ mke anampango wa pembeni unaomzibua chemba kuu.
Ha ha ha. mkuu uminikumbusha mbali kuna mmoja alikuwa anatufundisha A level aeleweki kabisa alafu mbaya zaidi alikuwa mkuda sana na mmbeya. Siku moja wakati anakata pindi akagongewa mlango kuufungua anakutana na nyoka kainua kichwa, alikusanya vitu vyake na kuondoka mojo kwa moja. ila jina...
mkuu swali lako alijakamilika kwa sababu ujasema kama zitaanza safari mda mmojo au tofauti. Speed maana yake ni umbali gawanya kwa muda. Kwa mfano umbali wa kutoka arusha to dar ni km600, basi litatumia masaa matano na pikipki itatumia masaa matano. Sasa kama zimeondoka mda mmoja hakuna...
mkuu Sio wanaume wa Dar pekee Yao Bali wanaume wanazidi kupungua. Jana kuna kijana kabaka Katoto ka miaka 13 mpaka akawezi kutembea maeneo ya olasity arusha. afu kakaa nje na anajitamba mtu amsogelee aone. yaani uwezi amini hakuna aliyesogea eneo ilo. mpaka polisi wanakuja wanamkuta mtuhumiwa...
Duh mkuu umetisha yaani umefanikiwa kuona jina wakati ujatumia huo mkopo. mimi nina siku ya tatu silali nakesha nikitafuta jina langu sijaliona mpaka sasa,
Hao walimu wana roho mbaya hakuna jingine na lengo lao ni kuwakomoa tu. Walimu wa zamani walikuwa na busara sana yaani kipindi cha mitihani hawakugusi ata ufanye kosa gani utabembelezwa ili mfanye vizuri,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.