Wasumbufu haohapo kwel na hata maisha yaki mshinda jamii nzima laana kwako wata jua ww ndo chanzo
Kundi ni hilohilo la walioacha shuleJe aliyeacha shule kwa kukosa ada unamweka kwenye kundi gan??
Ukikosa hela ya kumlea atakuacha kwa style atakayotumia kuacha shule baada ya kukosa ada..Je aliyeacha shule kwa kukosa ada unamweka kwenye kundi gan??
Sasa Mimi mbona ndio nina mpango nae, kaishia ngazi ya cheti, kuendelea na diploma ada imekuwa ngumu kwake, huyo vipi!!!
Jifunze kuandika talaka.Huu uzi ungeuleta kabla sijaoa, now it's too late
Jifunze kuandika talaka.
í ½í¸ í ½í¸ í ½í¸ í ½í¸ í ½í¸ ila kuna kweli hapo,Ukikosa hela ya kumlea atakuacha kwa style atakayotumia kuacha shule baada ya kukosa ada..