Mnawezaje kutumia vyoo vya kukaa?

Mnawezaje kutumia vyoo vya kukaa?

Ningeliwa na uwezo "ningelivikataza kutumika katika vyoo vya publics" ni UTI tupu.
 
Sio vizuri hasa vikitumiwa na wengi,ila kama ni ww na mkeo mbona mororo
 
Sijui ni ushamba wangu au ni vipi, yaani hivi vyoo vyenye masinki ya kukaa nashindwa kabisa kuvitumia hata ikitokea bahati mbaya nikavitumia nakuwa uncomfortable kabisaa mimi nishazoea hivi vyoo vya kuchuchumaa.. We unapendelea kipi kati ya vyoo vyenye masinki ya kukaa au vyenye masinki ya kuchuchumaa?,
We endelea na hivyo vya kuchuchumaa mpaka upate cramps ndiyo utajua faida ya vyoo vya kisasa.
 
Mimi kila nikutapo choo cha kukaa lazima nipande juu yaani pale pa kuweka nyee ndipo ninapoweka miguu then nachuchumaa kama kawa, vyoo havina discipline vile kitu kikishuka tu kinakurukia kwenye 0713
 
kuna namba hizi mtu akiandika huwa sielewi sijui ni utu uzima wangu ; 24/7 au 0713
Labda nikusaidie hii 24/7 inamaanisha Kkila siku, kila dakika kila sekunde.. daily.
Hiyo nyingine subiri wajuaji zaidi.
 
hata kama kikiwa cha kukaa mi lazima nichuchumae

article-2570828-1BEFBD9800000578-9_634x499.jpg

vandladning, plakat, tisse, toilet SVG, PNG, W

egc5rhtpvh4.png

vandladning, plakat, tisse, toilet SVG, PNG, W
 
Kama ni cha kushare haukai... (style ya chuo hii) unaweka tp kwenye maji iki ukidownload yasikurukie....unachuchumaa na kufanya yako


Tahadhari hakikisha choo ni inara la sivyo ajali yake mbaya
 
Back
Top Bottom