Utumishi; No placement, No interview, No posts advert hawa 5elfu wa JPM wamepitia wapi?

Ajira huwa znatangazwa na znakua waz ili wenye sifa waombe,sasa wanaajira kmykmya je waajiriwa wanatoka wap? Wanajuaje kama kunanafas za kaz? Au wanafuatwa mf jkt?
 
Acheni kupotosha watu, akuna jwtz wala polisi wala cha jkt walioajiriwa.. mnapataga faida gani kutetea kauli za kilaghai na za uongo zinazotolewa na kiongozi?
Polisi wameajiri, magereza wameajiri, jwtz ndo wapo Oljoro wanasubiri kuanza kozi ya ajira ila ndo washahesabika wameajiliwa.
Lakini kumbuka polisi,magereza waraka wa kusitisha ajira umetolewa wakiwa tayari wameshaanza mafunzo siku nyingi na haiwezekani kuwarudisha nyumbani mkuu, maana washjifunza mambo mengi ya kijeshi.
Ingeleta Shida mtaani
 
Ajira huwa znatangazwa na znakua waz ili wenye sifa waombe,sasa wanaajira kmykmya je waajiriwa wanatoka wap? Wanajuaje kama kunanafas za kaz? Au wanafuatwa mf jkt?
Labda matangazo yanabandikwa kwenye mbao za lu...mumba
 
Acheni kupotosha watu, akuna jwtz wala polisi wala cha jkt walioajiriwa.. mnapataga faida gani kutetea kauli za kilaghai na za uongo zinazotolewa na kiongozi?
Ahsante sana kiongozi. Nashangaa wanafki wanaojifanya kumsemea rais. Jeshi lipi lililoajiri? polisi gani walioajiriwa?
 
umesahau chuo kama cha Ccp moshi kinatema 2,700 wakitoka apo ajira moja kwa zote, july wali passout! sijui kuusu jeshi na fani nyingine ambazo ni direct!
 
Ahsante sana kiongozi. Nashangaa wanafki wanaojifanya kumsemea rais. Jeshi lipi lililoajiri? polisi gani walioajiriwa?
Polisi wameajiriwa tar 24 June mwaka huu
Magereza wameajiriwa tar 9 July mwaka huu.
Kama hauamini ingia website zao uangalie pared zao wakati wana pass out
 
Elewa maana ya ajira mpya. Kwa kawaida baada ya pass out lazima iingie intake mpya. Hilo ndilo linalozungumziwa hapa
 
Acha kulazimisha mambo kila taasisi ina utaratibu wake sasa tangu depo zitoke vyuoni ni muda gani umepita? Hata miezi sita bado na kwa kawaida hua wanaajiri kila mwaka na kwa mwaka huu ndo depo zimetoka vyuoni juzi sasa wewe kwa njaa zako unataka kwa mwaka waajiri depo zaidi ya moja ndani ya miezi sita?
 
Back
Top Bottom