Hata kama ni mgao lakini nadhani hii sasa imezidi.
Sijui kama hili shirika linajua kwamba unaounguza uzalishaji na kupunguza ukuaji wa biashara nchini kwa huu mgao.
Hivi Tanesco wameshindwa kukaa chini na kuwaza ni namna gani hata huu mgao wa umeme utakuwa na manufaa kidogo miongoni mwa...
Inashangaza sana kuona ama kusikia Kiongozi mkubwa vile serikalini anatoa lugha ya kibaguzi namna hiyo. Kiongozi wa wizara nyeti kama ile anajitokeza hadharani na kusema hawa wana asili ya nchi fulani.
Kidogo imenistua maana sasa suala la Ngorongoro ni kama kutunishiana misuli sasa. Wananchi...
Uonevu kama huo wa kuwazua wapinzani sawa ni changamoto sana. Lakini bado nashauri wapinzani kujijenga sana. Haya ya kuonewa mara mara mtu anazuiliwa kugombea naamini yataisha tu. Kwa sasa nguvu ya wananchi ndo ngao kubwa na isipokusanywa itazidi kuwa rahisi kuonewa tuu.
Mwaka wa 2020 unaenda tena kuwa mwaka mwingine wa kihistoria kwa nchi yetu. Ni mwaka ambao tunasubiri maamuzi ya Watanzania ambapo kilele chake itakuwa tar 28 October 2020.
Tunaona chama tawala na vyama vya upinzani vikijinadi kwa mengi majukwaani mbele ya waamuzi wao ambao ni wananchi. Kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.