BAKWATA Mkoani Mtwara yatangaza kumuunga mkono Mgombea Urais wa CCM ili awe Rais kwa awamu nyingine

BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Wilaya ya Mtwara Mjini limetoa tamko na kuomba dua kwa Rais John Magufuli.

Tamko walilotoa ni kumuunga mkono achaguliwe kuwa Rais kwa awamu nyingine ili aweze kuiongoza nchi....
Mimi ni muislamu mzuri tu very punctual kwa sala tano lkn kwa hili Mungu awape laana ya milele BAKWATA kuunga mkono CCM. cku zote BAKWATA wakiambiwa kuwa ni tawi la CCM wanakataa. washenzi hawa.

Allah awape laana ya milele watu hawa wote. Hivyo kweli hawaoni masheikh wa UAMSHO na masheikh wengine wanavyooza jela bila ya sababu yoyote wamekaa kimya kama makhanithi wapevu.

ALLAH isikilize dua yangu uwalaani BAKWATA wote iwe mtwara ama makao makuu. UAMSHO wanaoza jela kwa dhulma , shyule za kiislamu zinachoma moto na wahuni wala hujawasikia BAKWATA wakalani. To hell.
 
Nawaza tu ingekuwa Bakwata au Umoja wa Maaskofu fulani wangetangaza waziwazi kumuunga mkono Lissu sijui ingekuwaje hadi saa hizi
Wangemfungia kufanya kampeni,wamekuambia hawana aibu kumfagilia mgombe wa CCM.
 
Bakwata, CCT na TEC ni taasisi zinazofanya kazi chini ya Jatibu wa NEC (itikadi na uenezi)

Jana ulikuwa mufti, leo wao hata hawawazi juu ya masheikh walioko kizuizini.

Mkuu mbona umepanic hayo ndio mambo ya uhuru wa maoni hahahaha mambo ya haki ,uhuru na maendeleo....
 
download.jpeg.jpg
Tuipate Hii Tukawafunge Ni Ya Tani Moja
Huenda Wakatulia Wakaacha Mambo Ya Nongwa!!
 
Bakwata yako mengi munakosea ndiyo maana waumini wakiislamu hawana imani na nyie.

Ni vema muache kupotosha.

ALLAH (swt) anajuwa ya nyuma yetu na ya mbele yetu na yeye amesema atailinda dini yake.

BAKWATA MTWARA endelea kuanzia hapo.
Bakwata sio chombo cha waislam kile ni chombo cha serikali. Ndio maana hata sheikh uchwara wa Dar alipotangaza kufunga msikiti kipindi cha Corona akafokewa na JPM akaufyata akafungua msikiti chap chap. Hawafuati Quran na Sunnah wao wanafuata muongozo wa CCM.

Waislam wapo chini ya Shura chini ya Amir Sheikh Kundecha.
 
Kikao na mkuu wa wilaya alafu wanatoa tamko bila aibu huyo mkuu wa wilaya anahusikaje kwenye kampeni?
 
BAKWATA - BARAZA KUU LA WAISLAMU TANZANIA

BAKWATA - BARAZA KUU LA WAKRISTO TANZANIA

Mnaongelea ipi hapa?
 
Mimi ni muislamu mzuri tu very punctual kwa sala tano lkn kwa hili Mungu awape laana ya milele BAKWATA kuunga mkono CCM. cku zote BAKWATA wakiambiwa kuwa ni tawi la CCM wanakataa. washenzi hawa.

Allah awape laana ya milele watu hawa wote. Washenzi kweli ivyo kweli hawaoni masheikh wa UAMSHO na masheikh wengine wanavyooza jela bila ya sababu yoyote wamekaa kimya kama makhanithi wapevu.

ALLAH isikilize dua yangu uwalaani BAKWATA wote iwe mtwara ama makao makuu. UAMSHO wanaoza jela kwa dhulma , shyule za kiislamu zinachoma moto na wahuni wala hujawasikilai makhganithi hawa wa BAKWATA wakalani. To hell. Pumbavu. Sheikh Ponda ndiye kiongozi anayekubalika kwa waislamu walio wengi sio hawa masheikh maslahi
Msikiti mzuri na mkubwa kuliko yote nchini umejengwa kwa ufadhili wa Mfalme wa Morocco kwa ombi la Mkatoliki John Pombe (mkojo wa Firauni) Joseph Magufuli, Msikiti uko tayari unangoja Mfalme aje kuufungua Waislam wote waanze kufaidi matunda ya juhudi wanayounga mkono. Kwa msaada wa Wakristo wa Kanisa Katoliki kwa harambee ya kupata fedha iliyosimamiwa na John Pombe Joseph Magufuli, Waislam wa Dodoma wanajengewa Msikiti mpya mkubwa kwenye eneo la Ikulu Chamwino, Dodoma. Waislam wa Chato watajengewa Uwanja wa kisasa mkubwa kuliko yote nchini kwa ufadhili wa Mfalme wa Morocco kwa ombi la John Pombe Joseph Magufuli. Kazi kwao Waislam wa Tanzania wamslimishe awe muumini mwenzao au wabatizwe kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu wawe Wakatoliki wenzake. Kweli tumikia kafiri upate Mradi wako!
 
Nawaza tu ingekuwa Bakwata au Umoja wa Maaskofu fulani wangetangaza waziwazi kumuunga mkono Lissu sijui ingekuwaje hadi saa hizi
Mbona Maaskofu Bagonza na Mwamakula wamejitokeza hadharani kumpinga JPM na kumuunga mkono Lissu? Kitu ambacho si sahihi ni Tawi la Bakwata kutangaza kwamba kama taasisi wako upande fulani. Kibinafsi viongozi wa Bakwata wana uhuru wa kuunga mkono upande waupendao. Kura ni ya siri na Waislamu wanaowaongoza wana uhuru wa kupigia kura pande tofauti na wote wakabakia kuwa Waislamu. Lazima kutofautisha mawazo ya kibinafsi na ya taasisi.
 
Back
Top Bottom