JamiiForums Tanzania
blue scree
Wakubwa nimeamini hapa panasaidia sana,naona ss elimu tz imekua especialy kwenye mambo ya it,mawazo yenu nimeyakubali na yanasaidia,ila naomba niendelee kusema kuwa f8 nimebonyeza sana hakuna kitu window yake ni xp,kila nikibonyeza hakuna kinrespond bali scree inarudi kuwa blue nakuformat sitaki...