Huawei problem

Huawei problem

moko

Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
57
Reaction score
2
Washika dau wangu nina ka huawei modem hapa e153 nimekachakachua mpaka zile 10 trial zikaiisha manake kalikua kanasumbua,hebu niambieni nini cha kufanya zaidi ni ka mtandao wa tigo,au havifaagi?manake ndo mara yakwanza nachakachua ka tigo,
gudmon wote
 
wazee mmekaa kimya sana nimeshtuka,hebu toeni ushauri wa hili suala la modem



Washika dau wangu nina ka huawei modem hapa e153 nimekachakachua mpaka zile 10 trial zikaiisha manake kalikua kanasumbua,hebu niambieni nini cha kufanya zaidi ni ka mtandao wa tigo,au havifaagi?manake ndo mara yakwanza nachakachua ka tigo,<br />
gudmon wote
<br />
<br />
 
Back
Top Bottom