Elimu ya kipindi kwa tv | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ya kipindi kwa tv

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by moko, Sep 28, 2011.

 1. m

  moko Member

  #1
  Sep 28, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau hebu nijuzeni,mtu akitaka kuanzisha kipindi kwa tv anatakiwa aanze process zipi,namaanisha kuanzia kuomba mpaka kuendesha kipindi bila kusahau malipo km mshahara,natamani sn kuwa mmojawapo wa watangazaji ambao hawajasomea fani hiyo lkn wenye hobi na wenyeutundu mwingi sn na programme za kijanja kuhusu vipindi vya tv,ninazo programme nzuri sn na mipangilio kabambe,naombeni ushauri
   
 2. m

  moko Member

  #2
  Sep 29, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakuu ushauri wenu ni wa muhimu sn nimeona mmekaa kimya sana hayupo mjanja wa mambo haya nini?
   
Loading...