Msaada huyu dada wajameni

Nimetoka kumeet na dada mmoja hivi, ananiomba ushauri, maana yeye hata hajui what to do. Nimeona niwashirikishe, in short mkasa uko hivi,

Huyu dada yupo na bf wake kitambo tu, yeye bado yupo university while her bf ana kazi nzuri tu katika kampuni moja ya simu kubwa nchini. five months ago alipata mimba bf wake akainsist sana waitoe mimba dada wa watu kwa shingo upande akaitoa. Sasa leo nilipokuwa naongea naye ameniambia kuwa ana mimba nyingine na bf wake yupo mad anataka abortion itake place. Mdada kagoma kutoa mimba anadai alipo abort first tym she's been feeling guilt. Binti hataki kwenda nyumbani na mimba pekee, unless wanaenda na jamaa kujitambulisha or harudi kabisa home maana home kwao nako hakupo gud. Alianza dada mtu kapata mimba nyumbani wakampokea kwa shingo upande mama pressure ikiwa juu kidogo, miez mi13 iliyopita mdogo wao wa mwisho naye kapata mimba mzazi nusura apagawe (mzazi ana kisukari) sasa now ni huyu wa katiati, yeye mwenyewe amepanga kutorudi nyumbani kuhofia kumuumiza zaidi mzaz wake. Mi nimemwambia asiporudi hom ndo atamuua mzaz wake bila chenga. Akanambia then hajui wat to do but hayupo tayar kuabort na kalia bati msimamo wake. Nimemwambia amwambie mchizi wake aende kujitambulisha kwao faster but msela hataki hiyo kitu( Binti kafikia kwa msela jijini na home kwao wanajua binti bado yupo chuo mkoani.)
Jamani msaada wa mawazo.., anatia huruma sana wandugu..

Mwambie huyo dada asithubutu kuitoa hiyo mimba, naomba ailee na ajifungue salama halafu huyo mtoto mimi nitamu-adapt!. Kwa maelezo zaidi waweza kuni-PM.
 
Tena hivi roho yake inamsuta mwache atoe hiyo mimba kama hajakosa mtoto maisha yake yote. Kama ndugu zake wamezaa nyumbani yeye anaogopa nini na mama yao atakuwa ameshajizoelea; wa kwanza atakuwa alimpa mshituko sasa yeye si wa kwanza ni wa tatu kuzaa home. Azae tu mwanae. Ila na hiyo familia anayotoka ina matatizo. Wanapenda wasipopendwa ndio maana wanazalia nyumbani. Afu huyo "msela" atakuwa amepiga mahesabu akaona mdada anatoka familia ambayo kuzaa si issue ndio maana hamwelewi anavyosema aende akajitambulishe kwao kwani wale waliozaa na madada zake walijitambulisha?

Ukitoka familia zenye mikosi ya kuzaa nyumbani you need to be extra careful if you want to make a difference. Sasa yeye keshaona yalowakuta wenzie afu nae anaenda njia hiyo hiyo.
 
Nimetoka kumeet na dada mmoja hivi, ananiomba ushauri, maana yeye hata hajui what to do. Nimeona niwashirikishe, in short mkasa uko hivi,

Huyu dada yupo na bf wake kitambo tu, yeye bado yupo university while her bf ana kazi nzuri tu katika kampuni moja ya simu kubwa nchini. five months ago alipata mimba bf wake akainsist sana waitoe mimba dada wa watu kwa shingo upande akaitoa. Sasa leo nilipokuwa naongea naye ameniambia kuwa ana mimba nyingine na bf wake yupo mad anataka abortion itake place. Mdada kagoma kutoa mimba anadai alipo abort first tym she's been feeling guilt. Binti hataki kwenda nyumbani na mimba pekee, unless wanaenda na jamaa kujitambulisha or harudi kabisa home maana home kwao nako hakupo gud. Alianza dada mtu kapata mimba nyumbani wakampokea kwa shingo upande mama pressure ikiwa juu kidogo, miez mi13 iliyopita mdogo wao wa mwisho naye kapata mimba mzazi nusura apagawe (mzazi ana kisukari) sasa now ni huyu wa katiati, yeye mwenyewe amepanga kutorudi nyumbani kuhofia kumuumiza zaidi mzaz wake. Mi nimemwambia asiporudi hom ndo atamuua mzaz wake bila chenga. Akanambia then hajui wat to do but hayupo tayar kuabort na kalia bati msimamo wake. Nimemwambia amwambie mchizi wake aende kujitambulisha kwao faster but msela hataki hiyo kitu( Binti kafikia kwa msela jijini na home kwao wanajua binti bado yupo chuo mkoani.)
Jamani msaada wa mawazo.., anatia huruma sana wandugu..

Abortion is murder!
Mungu anasema usiue wala usizini.
Yeye huyu binti na bf wake waache ujinga, kwani walipokuwa hawatumii kinga yoyote wanategemea nini? Matokeo ya mechi ya kandanda ni goli ama magoli.
Hamna kutoa mimba na akiitoa Mungu asimpatie mtoto tena maisha yake yote.
 
Kiufupi binti alikosea toka mwanzo kukubali abortion! You want to do 2nd abortion? NO,kama msela mambo bado,after 1st abortion alipashwa kufanya maamuzi ya kutumia dawa ya penzi! Otherwise huenda huyu jamaa hana nia ya dhati,anamchezea tu huyo binti! Binti akikubali to do the 2nd abortion kamwe in her life hatakujapata tena mimba!!!!!!!!!!
 
honestly mwenyewe nimempa kubwa bila kumkeepesha na kumwita mzembe na zezeta. Kinachokera ni kwamba she just aborted few months ago n now she z pregnant again.., na jamaa mwenyewe hataki kwenda kujitambulisha..!

Yaelekea hao walitoa mimba, na kabla hata huyo dada haja - stabilize wakafanya tena ngono zembe, kwahiyo wameunganisha mimba nyingine juu kwa juu...(kwa mujibu wa madaktari). Ila apige moyo konde, asitoe mimba na asikate tamaa!
 
Kwa garama yoyote ile mimba itunzwe na izaliwe na mtoto atunzwe akuwe. Ujinga wao usigarim uhai wamtoto. Wajiulize uhai unaanza baada au kabla ya kuzaliwa?
 
Yaelekea hao walitoa mimba, na kabla hata huyo dada haja - stabilize wakafanya tena ngono zembe, kwahiyo wameunganisha mimba nyingine juu kwa juu...(kwa mujibu wa madaktari). Ila apige moyo konde, asitoe mimba na asikate tamaa!
huyo dada anapenda ngono zembe sana yaelekea hawezi vumilia mwez bila kudo.. So hata akitoa bado atapata tena nyingne atatoa ngapi? Kutoa mimba ni fashen? Mwambie atunze mimba hyo ukipanda mchicha usitegemee kuvuna samaki. Hayo ndio mavuno ya ngono zembe!
 
kanogewa na vocha za bureee,,,,,,kwan vle vidonge gani cjui vya kuzuia mimba ni bei ghali eeeh?kwanini asinge tumia au ndo janja ya cku hizi ukipata tu ujauzito unataka akajitambulishe....hiyo imekula kwako
 
Mi nampongeza kwa msimamo wake wa kugoma kutoa mimba..kwa hili hongera sana though ulifanya kosa hilo mwanzo..kuhusu msela namshauri amvumilie kwa sababu wanaume wengi walio nje ya ndoa mara nyingi huwa wanawachukia wapenzi zao mara wakipata mimba, ila baadae huwa wanajutia nakuomba masamaha then mambo yanakuwa shwari.

Mama wla usihofu kunanjia nyingi za kumface na wala asishituke...mfano waweza kwenda nae ufukweni then ukaanza na story za boi wako ukampamba hata kama si kweli then baadae unampa ukweli....thankx
 
Kwan wataki wanapeana raha waltegemea nini! Panda mpunga vuna mahindi huyo dada analo jamaa kashamuona afai kuwa mke! Ile mimb ya kwanz asingeitoa!
 
msichana wa chuo anao uwezo mkubwa wa kuzuia mimba inakuwaje anapata mimba kila wakati?
 
dah the did had just done!!!! no way out! ... mshauri asitoe mimba , na inaonesha wai jamaa hajapanga kuwa naye katika future... ajitayarishe kuwa single mother, aje ambane jamaa kwa mahitaji ya mtoto ya kila mwezi...
 
Huyu dada kweli nampa pole hii hutokea pale unapomwamini mtu kua ndo atakuoa halafu kumbe ndo nia yake kukucezea tu,waliomponda wanakosea kwa sababu huyu dad anakaribia kumaliza chuo bila shaka ni umri mzuri wake wakuolewa,kwa hiyo kuachia goli ni sawa abisa ila alitakiwa awe mangalifu khs mimba kwani yeye tayari ni msomi anazijua siku zake vizuri ila km ni bahati mbaya pole,pia mimba ni mipango naona km hawakupanga na huyo mchumba kwa mujibu wa maelezo yako,thats why jamaa anakataa,au dada alimtegea jamaa?km alimtegea imekula kwake sn ila namshauri asitoe ajitahidi aitunze pengine ndo zawadi pekee
 
Nimetoka kumeet na dada mmoja hivi, ananiomba ushauri, maana yeye hata hajui what to do. Nimeona niwashirikishe, in short mkasa uko hivi,

Huyu dada yupo na bf wake kitambo tu, yeye bado yupo university while her bf ana kazi nzuri tu katika kampuni moja ya simu kubwa nchini. five months ago alipata mimba bf wake akainsist sana waitoe mimba dada wa watu kwa shingo upande akaitoa. Sasa leo nilipokuwa naongea naye ameniambia kuwa ana mimba nyingine na bf wake yupo mad anataka abortion itake place. Mdada kagoma kutoa mimba anadai alipo abort first tym she's been feeling guilt. Binti hataki kwenda nyumbani na mimba pekee, unless wanaenda na jamaa kujitambulisha or harudi kabisa home maana home kwao nako hakupo gud. Alianza dada mtu kapata mimba nyumbani wakampokea kwa shingo upande mama pressure ikiwa juu kidogo, miez mi13 iliyopita mdogo wao wa mwisho naye kapata mimba mzazi nusura apagawe (mzazi ana kisukari) sasa now ni huyu wa katiati, yeye mwenyewe amepanga kutorudi nyumbani kuhofia kumuumiza zaidi mzaz wake. Mi nimemwambia asiporudi hom ndo atamuua mzaz wake bila chenga. Akanambia then hajui wat to do but hayupo tayar kuabort na kalia bati msimamo wake. Nimemwambia amwambie mchizi wake aende kujitambulisha kwao faster but msela hataki hiyo kitu( Binti kafikia kwa msela jijini na home kwao wanajua binti bado yupo chuo mkoani.)
Jamani msaada wa mawazo.., anatia huruma sana wandugu..

mpe pole huyo dada...lkn na huyo dada mseme...ya kwanza alilazimishwa kutoa bado lanakubali kuliwa kavukavu au anataka kuzaa huyo? Na huyo jamaa mie naona hana mpango na huyo dada kabisaaaaaa...a PLAYA
 
Huyo mwanaume ni play boy ana pass muda tu ndio maana hataki committment ya aina yoyote! Tukio la kwanza la kutoa mimba huyo dada alitakiwa ajue kuwa hana mtu hapo ila wa kucheza nae tu kupitisha muda akimaliza shule asepe zake. Sielewi kwa nini hakuliona hilo ama ameamua tu kugangamala kung'ang'ania aolewe! Hakuna mtu hapo!
 
Kuna hatari hapo.
Mwambie asikurupuke kwa maamuzi till now naona kashakubali kuzaa,very good hiyo ni relief namba one.
Mwanamke mjamzito sometimes she fails to think straight especially akiwa hana ndoa,au she lives with a crazy hubby.
There is no way out than telling it to her parents,achane na huyo man ajali maisha yake coz the guy haathiriki na chochote.
Asiogope kuwa single mother wapo kibao,na wapo wanawake wanaoolewa na mwanamme mwingine wakati washazaa b4.
Sasa hivi awaze ng'we iliyobaki chuo na kuzaa mtoto wake,hata siku moja bibi hakatai mjukuu,atalelewa tu huyo mtoto na atakua,by the time anamaliza chuo na kupata kazi ataenjoy life na katoto kake.
Awazie afya yake na ya mtoto tu,huyo bwana na parents amwachie Mungu maana kama kukosa ashakosa anachotakiwa nikujua wht to do next sio kusitasita na kuamua vitu vya ajabu,wanaume wapo kibao halafu istoshe Mke au mume mwema hupangwa na Mungu,kama huyo ni wake watameet tu on the right time.Tena ashukuru Mungu kaonyeshwa mapema huyo c mume kwa sasa,akilazimisha ndoa atajuta for the rest of her life.
 
Kaka yangu hivi kweli kama si kumchokonoa Mungu, huyo mchizi anaenda vipi kujitambulisha wakati hana nia naye? Unajua kitendo cha mwanaume kukwambia toa mimba ni kwamba hakutaki au nyie wenzangu mnaelewaje?

Huyo mdada ana element zote za kulazimisha penzi wakati halipo, kwa ushauri wangu alee mimba yake, na ajue pa kuipeleka kwa sababu mchizii wake ni chizi orginal nahataki mahusiano naye. Umetoa mimba ya kwanza, umedaka ya pili wakati dalili za kutokupendwa ziko wazi. Pole sana.
 
Mpe pole sana huyu Dada ila tusimimbilie kumlaumu huyu binti peke yake sababu hiyo mimba hajaipata kimiujiza the guy should be responsible with the pregnancy ya huyo mdada, wala asithubutu kutoa hiyo mimba kama ni kosa tayari limeishafanyika na sio kuanza kulaumu kilichobakia hapa ni huyo mwanaume ku-accept responsibility ya hiyo mimba vinginevyo hapa ninaona huyu mdada ana nafasi kubwa ya kwenda kufanya abortion tena.

Tuwe waangalifu sana.
 
Ila kuna watu wengine wanajitafutiaga matatizo wenyewe! Mimba ya kwanza umeona umeambiwa uitoe... asa kwanini ajipeleke tena? afu kavikavu sasa! Kwa mtu mwingine...angeshtuka mapema baada ya kuona kilichotokea mara ya kwanza...au angeachana nae...au angekuwa na msimamo kuwa hakuna kufanya kavukavu tena au hakuna kufanyana tena kbs!
Lakini asitoe hiyo mimba...na kama yuko kwa jamaa basi amgande.. na awe makini naye asije akamuwekea kitu kibaya kwenye chakula au kinywaji thn ikawa balaa juu ya balaa...!
 
Huyo bidada ilibidi aongee na jamaa ili ajue uhusiano wao ni wa aina gani? Hapa inaelekea njemba ilikuwa inataka kum2mia tu! Basi ila naye hana akili japo anasona UNIVERSITY kapata mimba akashawishiwa akatoa then akakubali ku-sex bila kinga du!? Mbona vidonge vya majira ni bure? Mwambie asirudie kutoa mimba tena avumilie tu! MUNGU atamsaidia
 
Back
Top Bottom