Translating app to kiswahili

HT

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,897
413
serious please!
Naomba tuweke tafsiri ya 'menu' katika application. Hii itasaidia mtu akitaka kufanya translation ya program kuwa kiswahili. Niko faced na kazi hiyo kwa sasa, msaada wenu muhimu
NB: sijapeleka jukwaa la lugha kwa kuwa lengo si kupata kiswahili 'sanifu' bali kinachotumika yaani 'famous lang'
asante
 

HT

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,897
413
EDIT-> REKEBISHA
copy: nakili
paste: bandika
cut: kata
 

HT

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,897
413
FILE-> Faili???
New : mpya
open : fungua
save ; hifadhi
save as : hifadhi kama
exit : ondoka
 

HT

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,897
413
ubarikiwe emanuel. Ngoja niyachukue
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
29,105
34,908
hossana juzi walizindua microsoft kwa lugha ya kiswahili i think itakua source nzuri ya kupata kiswahili fasaha kutoka kwao. Sjui ile project ilifanyika wapi udom au udsm
 

HT

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,897
413
hossana juzi walizindua microsoft kwa lugha ya kiswahili i think itakua source nzuri ya kupata kiswahili fasaha kutoka kwao. Sjui ile project ilifanyika wapi udom au udsm
tatizo ninasikia kiswahili chake kimekaa kikenya sana!
 

HT

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,897
413
nimedownload po file alilounganisha feruzi na kutoka kilinux nitayatumia hayo kutranslate my app.
Shukrani wote!
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom