Recent content by mokii

  1. mokii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Hivi ni single mother au single parent?
  2. mokii

    JamiiForums Tanzania Clouds Media Group tafadhali msirudie tena kosa hili siku nyingine

    Mkuu afadhali umeliona hili! huyu jamaa huwa ananikera sana! nadhani uwezo wake wa kudadavua mambo unamushkeri kubwa!
  3. mokii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msimamo wa wanaume wa mikoani kuhusu tukio la Dodoma

    Sawa mkuu!
  4. mokii

    JamiiForums Tanzania Huyu bwana mdogo Mohammed bin Salman wa Saudi Arabia hatari

    Okay nimekupata mkuu! BTW it was joke!
  5. mokii

    JamiiForums Tanzania Huyu bwana mdogo Mohammed bin Salman wa Saudi Arabia hatari

    Hahaha moyo wako umemdondokea tayari mkuu! vipi upo tayari kuslim uwe mke wa nne?
  6. mokii

    JamiiForums Tanzania Hii style huwa inaitwaje?

    Ni kweli! tunatofautiana mkuu!
  7. mokii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msimamo wa wanaume wa mikoani kuhusu tukio la Dodoma

    "Wabillah tawfiq" Nakukumbusha tu mkuu! usipende kutumia maneno ya kidini kwenye mambo yanayohusu zinaa!
  8. mokii

    JamiiForums Tanzania Hii style huwa inaitwaje?

    Kumbe kunakupendana zama hizi?
  9. mokii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbukumbu katika maktaba yangu

    Ulikuwa na miaka mingapi? maana tusijekukupa maneno magumu kumbe barehe ilikuwa imekuteka!
  10. mokii

    JamiiForums Tanzania Hii style huwa inaitwaje?

    Mambo ya DP hayanihusu wala siwezi kumuuliza hahaha, kikubwa anitimizie matakwa yangu tu!
  11. mokii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania May be huyu binti alikuwa ni mkarimu?

    Easy come,easy go! jiulize kawashobokea wangapi kabla ya kuja kushoboka kwako katika siku moja? kuwa makini "Bitch hunting"
  12. mokii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna wanawake wazuri wa kuoa humu JF

    Mkuu waliopo humu ndio waliopo mtaani! kikubwa ni wewe kujipanga tu! ila kwanini usitafute huko mtaani mke?
  13. mokii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu ndoa za kileo zimekuwa ngumu na wanaume kuwa dhaifu, tusilaumu tu!

    Dah wewe jamaa umenena kweli tupu! yaani kweli 100%.
  14. mokii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefuta namba zake zote

    Bado hujakomaa kwenye industry ya mapenzi mkuu! Unasafari ndefu sana kuwa guru kwenye hii industry any way kila la kheri mkuu!
  15. mokii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujifunze kupenda tunapopendwa

    Kuangukia pua ni kitu cha kawaida tu! hakiharibiki kitu ndio maisha yalivyo mkuu! nitafosi vipi kumpenda mtu nisie na hisia nae kisa ananipenda? hapo nitakuwa mtumwa wa hisia mkuu!
Back
Top Bottom