social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,105
- 1,262
Habari wanajukwaa
Tuliowahi kutembea na ndugu wa familia moja tujuzane ilikua vipi mpaka mission ikafanikiwa.
Kwa upande wang niliend eneo fulan kama mgeni ile wakati naondoka nikachukua contact ya binti wa mwenyeji wangu kwaajiri ya kujuliana hali, ile nipo njian naelekea kupanda bus mtu nisiemjua alinikimbilia na kunipa number akidai kapewa na dada mmoja aniletee...Kiufupi niligegeda mtu na mdogo wake.