May be huyu binti alikuwa ni mkarimu?

May be huyu binti alikuwa ni mkarimu?

Easy come,easy go! jiulize kawashobokea wangapi kabla ya kuja kushoboka kwako katika siku moja? kuwa makini "Bitch hunting"
 
Wakati natoka Zenji leo kwenye boti nilikaa na mdada mmoja,mara ya kwanza ni kama anajishuku kunisemesha mi namcheki tu,tulipokaa vizuri akatoa noti ya sh 2000/= imeungua moto upande,akaniambia,'kaka nimeshikishwa hii noti bila kujua,nawezaje kuitoa?

Nikamwambia nenda kanunue chochote humu ndani watapokea tu,basi akarudi na chipsi zile zilizokaushwa na pili pili kibao.

Akaniambia kaka karibu tule ila pili pili nyingi sijui kama utaweza,unajua sometimes mtu akikukaribisha basi hata kuonja usimvunje moja,nikaonja.

Dah ndo ikawa kuonja onja,mara "kaka sijui hi chipsi itaishaje furaha yangu tule iishe maana ina pilipili"

Tukaendelea mdogo mdogo,mara "unakunywa soda gani siyo vizuri maana naona yenyewe kama haiendi" dah sasa hiyo lafudhi,aliporudi nikamwuliza we kabila gani,akaniambia mi mnyamwezi kwetu Ulyankulu Tabora.

Mara kasinzia gafla kaniwekea mkono,nilisisimka mwili na ninavyopenda black beauties,'memory ikanijia nikachukua ticket ya Azam nikaigeuza nikasoma makosa kwa wasafiri nikasoma namba 10 "(kufanya mapenzi fidia ni sh 50,000)"

Nikasimama,mara akagutuka "kaka sijui ndugu zangu watanipokea kweli sina uhakika" nikamwambia usijali wanaweza kwepo tu.

Sasa wakati Wa kutoka tukajikuta tumebaki wa mwisho.


Wakuu inaonekana huyu ni wife material anajali wanaume,wenye uzoefu please!
Jiepushe kupenda kula vyakula vya watu usiyo wafahamu kwenye vyombo vya usafiri hasa wakina dada warembo maana siku hizi kuna tabia ya kuwekewa dawa za kulevya kwenye chakula na vinywaji ukija kushtuka uko mhimbili ushaibiwa kila kitu...over
 
ktk safari mi huwa simwamini mtu coz mara nyingi wale wanaowaibia watu ndo wanapata chance za kuiba kwa kukaribisha msosi kumbe kunavitu vimewekwa kwenye chakula au vitu vya kulewesha.unapekenyuliwa mpaka bac, naogopa sana coz rafiki yangu alipewa pipi akazma akazinduka cku ya tatu hospital hana hata kitu,
so usipende kumridhisha mtu kwa kula kitu chake kwenye gari au sehemu yoyote ile
Nyegy zitamfanya vibaya we mwache tu
 
Beba tu mkuu kwani shida iko wapi?
 
Unaokota embe chini ya mti unafurahi wakati hata hujui likiangukaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom