Recent content by mohammedbsr

  1. M

    5 Features You Should Disable On New Smartphones

    Love bullet #5 about Google ads, whether u like it or not Google will keep sending you ads anyway
  2. M

    Plot4Rent Nauza uwanja 30x30 Buswelu-Mwanza niende ulaya; 5m surveyed

    “SIPUNGUZI HATA SH MOJA, serious buyers only.” No negotiations allowed!!! [emoji54] What kinda business offer is that, but anyways provided you have receipts for all the purchases made to back your stand
  3. M

    Njia hii ikitumiwa na Magufuli mwishoni mwa uongozi wake 2020 , Ikulu nyeupeee

    That's the aftermath you're pointing out not possible plans of the "big guy" for his campaign, there's a difference
  4. M

    Messi is better than CR 9

    Kwanza kuna tatizo moja kubwa hâta Zlatan Ibrahimovic amelisisitiza ya kwamba Messi na Ronaldo CR7 ni wachezaji wawili tofauti sana kwa hiyo kuwalinganisha ni vigumu pia. CR7 ni complète striker na kwa Mara nyingi ni Mtumwa kuhudumiwa sana amalizie kufunga. Wakati Messi ni Midfield...
  5. M

    Njia hii ikitumiwa na Magufuli mwishoni mwa uongozi wake 2020 , Ikulu nyeupeee

    Mkuu piga moyo konde, ni miaka miwili tu utabiri wako utathibitika, hâta nami naona vivo hivyo JPM atalaumu mapungufu yake kwa watendaji wake tu, kujisafishia njia IKULU. Exaggerating Your Success and Downplaying your Failures (if needs be blame it on others) is a classic Campaign move.
  6. M

    CCM inapenda namba ila hawajui hesabu, Bil 203 za "Zanzibar" katika tril 1.5 hazijulikani ziliko Serikali inadanganya

    Sawa waweza endelea na ya kwako lkn Awareness ni muhimu, sababu kwa namna moja au nyingine maamuzi ya bajeti yanakuathiri weye mwenyewe na hiyo michongo yako. Ukiweza kujitambua na kutambua bajeti ya taifa inaendaje unaweza kubashiri kwa mwaka mzima ujao michongo yako itaathirika vipi
  7. M

    Oparesheni Barakuda yarudi Afrika III

    Baba hatari, lakini yote uliyoyasema watu watayapitisha kwenye masikio yao kama vile hukusema chochote. Ni Ukoloni Mamboleo na kibaya zaidi HAWA wazungu wameshatuBRAINWASH kiasi kwamba chochote watakachosema na kufanya wengi wetu tutajionea sawa tu sababu tunawahusudu na kutaka KULWA kama wao...
  8. M

    Nimetofautiana na jirani yangu, naombeni ushauri

    Kweli kabisa anza kupeleka malalamiko yako kwa ofisi za Serikali za Mitaa, Diwani, Afisa Mtendaji n.k na baada ya kote huko ikishindikana, Kata MITI hiyo okoa maisha yako na ya familia,halafu kama kesi utapambana nayo baadae
  9. M

    Mwanamke kutokwa na mkojo wakati wa tendo la ndoa

    She probably SQUIRT which is good, but you should first calmly ask how she felt when it happened, COMMUNICATION IS A KEY FOR BETTER RELATIONSHIP AND GREAT SEX
  10. M

    Mapenzi na vituko vya chumbani!

    Swali la nne na la tano mazito, nasubiri kwa hamu maoni ya wenzangu.
  11. M

    Six ways men can escape poverty

    Mafanikio na Riziki yako yapatikana kupitia mikononi mwa watu wengine. Kwa hiyo basi kutengeneza mtandao au kizungu Networking ni jambo muhimu. Leo utaanzia kwenye “cheap drinks” Kesho na kutwa utapanda huko kwenye vinywaji ghali
  12. M

    Hivi kwanini wanawake sikuhizi hamko soft?

    Wanawake ili wawe laini wanatakiwa wapate vyakula vya mafuta laini (soluble fats/ LIPIDS). Matokeo mazuri na ya kudumu hupatikana pale msichana akipata LIPIDS tangu akiwa Mdogo, LIPIDS hupatikana kwenye mafuta ya NAZI kwa kula au kupaka kwenye NGOZI, mafuta ya mbogamboga (vegetable oils), mafuta...
  13. M

    Mnaosema kwamba mke hachunguzwi piteni hapa

    Watched your wife having an affair three times (3) before leaving her, I don’t get it [emoji44][emoji44][emoji44]
Back
Top Bottom