Recent content by Mohamedy

  1. M

    Fikira za mwenyeketi!........kuwavua gamba

    Tena bila ganzi kabisaaa
  2. M

    It's funny,isn't it?

    Ni unafiki wa mapenzi,maneno ya kudanganya,watu wa hivyo kwa mpango wa kando balaa tupu
  3. M

    STAR TV Tuongee Asubuhi 24th July 2011 - Mjadala Nidhamu Bungeni Part 2

    Viti maalumu wote wapo kwa maslahi ya vyama vyao tu na la tusitegemee kuona anaweza kuwa na mawazo yake binafsi.hii na kwa namna wanavyopatikana nika kundi la fadhila,wanafahiliwa kuongeza idadi tu hawana ubavu kwa wabunge wa kuchaguliwa.
  4. M

    STAR TV Tuongee Asubuhi 24th July 2011 - Mjadala Nidhamu Bungeni Part 2

    Hoja za Msingi wtazita wapi wakati ni ujanja uliotumika ili kuongeza idadi ya wabunge wa chama tawala kutoa sauti ya NDIYOOO Ili kupitisha hoja kwa kigezo cha sauti,ukweli ni mzigo mzigo mkubwa!
  5. M

    Kumbe Kivuitu ni mmoja wa wahitimu wa kwanza UDSM way back 1961

    Ni wazi siasa imeingizwa hapo.Inafahamika mzee Kwikima ni chama pinzani na ndicho kicho mgharimu! Hapo tunaona mapungufu ya Prf Mukandara anapoingiza siasa kwenye taaluma!
  6. M

    Rais umenisononesha kwenye BBC News

    Watanzania walichagua sura! Hatuna raisi tuna muuza sura! Angalia EPA,KAGODA,RADA,RICHARDMONDULI hadi leo tunasiki malumbano mjengoni hawajamaa walioitwa ze komedi na MNYIRAMBA aliepewa likizo ya malipo!Muuza sura yuko kwa Mzee Madiba anacheza Kwaito!! Anaongea na bbc anasema hana uwezo wa...
  7. M

    Rais umenisononesha kwenye BBC News

    Wana JF piga ua tunako elekea pamoja na upole kama sio ustaarabu wetu sasa yabidi tubadilike.Nasema tubadilike kwani huyu jamaa yetu tuliemuamini sana (JK) sasa tumemchoka! Kashfa nyini zinazo ibuliwa ni mzito kuzitole maamuzi,kwa kifupi anataka tuige mifano ya Misri,Libya na kwingineko...
  8. M

    Rais umenisononesha kwenye BBC News

    Wana JF piga ua tunako elekea pamoja na upole kama sio ustaarabu wetu sasa yabidi tubadilike.Nasema tubadilike kwani huyu jamaa yetu tuliemuamini sana (JK) sasa tumemchoka! Kashfa nyigi zinazo ibuliwa ni mzito sana kuzitolea maamuzi,kwa kifupi anataka tuige mifano ya Misri,Libya na kwingineko...
  9. M

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Ni kweli majeneza yatembeayo lakini kwa akina sisi yanatusaidia kwa usafiri tuwaombee wenzetu waliotangulia kwa usafiri huo nasi tunafuata
  10. M

    Nimetembea na shem pasipo kujua

    Kumbe nyumba ndogo! Muulize huyo shem alimtambulisha nani? Na wewe acha tafuta wako isijekua nawe watafuta nyumba ndogo maana maji hufuata mkondo.
  11. M

    Kitabu: Safari za jakaya kikwete nje ya nchi 2005-2015

    Ndg yangu hasi haachi asili! Si alikua nanii wa mambo ya nje? Minuso ya nje kesha zowea ana marafiki muache akawasalimie! Hapa inabidi nguvu ya ummma tu kalianzisha gamba kumbe wenye magamba wapo japo sitasema nayeye yumo! Tuliwpenda saana lakini penye dosari tuseme na penye shaka napo tuulizane...
  12. M

    Kitabu: Safari za jakaya kikwete nje ya nchi 2005-2015

    Real Madrid je? Achana na h.some boy
  13. M

    Kitabu: Safari za jakaya kikwete nje ya nchi 2005-2015

    Kujiuzu? Yani usitegemee kabisa kwani ni vigumu kama kufunga ndoa na mwanao! Yaani sitegemei kama ana ushujaa huo,labda niseme wazi HANA KABISA! Wendaji baadhi aliowateua wanafanya madudu anashindwa kuwajibisha iwe kujiuzulu! Amuwajibishe mshirika kesho nae amuumbue?
  14. M

    Kitabu: Safari za jakaya kikwete nje ya nchi 2005-2015

    Kujiuzu? Yani usitegemee kabisa kwani ni vigumu kama kufunga ndoa na mwanao! Yaani sitegemei kama ana ushujaa huo,labda niseme wazi HANA KABISA! Wetedaji baadhi aliowateua wanafanya madudu anashindwa kuwajibisha iwe kujiuzulu! Amuwajibishe mshirika kesho nae amuumbue?
Back
Top Bottom