Nimetembea na shem pasipo kujua

dahhhh

kwa hiyo kaka yako anamke
halafu ana nyumba ndogo..
wewe na kaka mnachangia
nyumba ndogo ...dahhh

kazi kweli kweli ......

Hapana!

Kaka yake ana mke kisha ana nyumba ndogo
Na yeye ana mke wanashea nyumba ndogo na kaka yake

Tanzania bila ya Ukimwi itawezekana??????????
 
Kaka amegundua kuwa nina mahusiano ya kimwili na nyumba ndogo yake. Ananihoji kwa simu na tayari mambo ni magumu kwenye uhusiano wao. Nifanyeje?
kama ni nyumba ndogo yake ni bora uendelee nayo-ila yeye abaki na mke wake-aache kutangatanga nje ya ndoa
 
Kaka amegundua kuwa nina mahusiano ya kimwili na nyumba ndogo yake. Ananihoji kwa simu na tayari mambo ni magumu kwenye uhusiano wao. Nifanyeje?

najaribu kuangalia na kutafakari utofauti wa hili tukio na lile la ndugu kurithi mke wa ndugu yake...................................
 
Inaelekea huyo dada kazi yake ni kukaribisha watanzania wote wanaotembelea nchi hiyo. Pole kaka. Na mimi narudia kapime ukiwa powa tulia. Dunia imekwiha ukimwi huko hata US.
 
Ni kwamba nilikuwa ugenini, nikakutana na mdada ambaye niliona kama niliwahi kuonana naye Tz, wakati tunaongea akanambia ametokea jijini Dar, nami nikamwambia nilikotokea kuwa ni Mz, wakati wa maongezi marefu ndo kanambia kuwa anahitaji kupata sehemu ya kupumzika, nikamkaribisha hotelini nilikofikia. Mambo yakaendelea kama kawaida nikimwita mpenzi. Siku ya siku Bro akakumbana na namba yangu kwenye siku yake, akamhoji alipataje namba yangu - binti akajikanyaga. Bro aliponipigia mimi na kunihoji kuhusu binti huyo nikamwambia ukweli kuwa ni mchumba wangu. Sasa Bro tayari ana mtoto mmoja na huyo binti na anamtishia kumuacha, binti analalamika kuwa nimemwalibia maisha. Haya nipeni ushauri.

Jamani uzinzi na uasherati hadi lini? Kaka ameoa, anakuwa na nyumba ndogo!!!!!!!
Mdogo mtu naye, umeulizwa sehemu ya kupumzika wewe unampeleka hoteli ulipofikia? haya umemchumbia umeambiwa ndiyo tiketi ya kuanza mahusiano ya mapenzi????mtu hata humjui, na sidhani kama mlipima kwanza, hebu mrudieni Mungu jamani kwani ipo siku tutavuna tunayoyapanda, hapo wote wazinifu wewe na kaka yako
 
Kaka amegundua kuwa nina mahusiano ya kimwili na nyumba ndogo yake. Ananihoji kwa simu na tayari mambo ni magumu kwenye uhusiano wao. Nifanyeje?

Huyo kaka ako ameoa? Kama ameoa mwambie na wewe unamchongea kwa mke wake.
 
dahhhh

kwa hiyo kaka yako anamke
halafu ana nyumba ndogo..
wewe na kaka mnachangia
nyumba ndogo ...dahhh

kazi kweli kweli ......

Na wajiandae kusafiri pamoja kama vipimo vikisema yes! Sijui nani atabaki kuangalia watoto wa kaka, jamani!
 
Jamani wanaume jifunzeni basi hata kidogo kuwa Expensive.. yaani mko soooo cheap!! Imagine dada kakubeep tu kidogo hana sehemu ya kupumzika ushakaribisha hadi hotelini mwee.. Badilikieni bana mnaboa!
 
balaa tu ,mimi naona .. bcz mtu kukutana tu munapendana? si uwe muangalifu kwanza ,kuna wanawake wengine nao ,matatizo tuuuu,,na wewe pia unaonekana unapenda videmu ,,bcz huwezi kumkabidhi mtu mapenz kwa siku 1 au mbili mumekutana casino?
 
Achen ngono zembe masela, yaani unatembea na mtu hata kujua background yake......... I see!
 
Kama kuongea jambo kama hili ni kawaida........yaani mtu anahadithia kiulaini kama vile anywa kikombe cha kahawa!.........................
Siku tutasikia........"nimetembea na nyumba ndogo ya baba.......nampenda.............naomba mnishaur"i....................

Yaani kuna mambo ambayo mi nafikiri ni ya aibu kiasi ambacho kuyatangaza ni aibu zaidi............kwanza kama ni mwanaume mwenye busara na unanyejiita mwanaume.............hapo unakosa uamuzi kweli???ni kweli huoni cha kuamua???

Halafu wakiitwa wanaume na wewe unaitikia????

Nanukuu toka kwa The Boss........"Watoto bana...."

Kaka amegundua kuwa nina mahusiano ya kimwili na nyumba ndogo yake. Ananihoji kwa simu na tayari mambo ni magumu kwenye uhusiano wao. Nifanyeje?
Kumbe nyumba ndogo! Muulize huyo shem alimtambulisha nani? Na wewe acha tafuta wako isijekua nawe watafuta nyumba ndogo maana maji hufuata mkondo.
 
Ndio maana nikasema huyo dada mcharuko na kazi yake ni receptionist wa wabongo wanaotembelea hiyo nchi maana si amesema ni nchi za watu na amekutana nae tu moja kwa moja kampeleka hotelini. Afu ndo shemejiyo huyo kazaa na kakako. Muombeni Mungu na huyo mtoto amnusuru na tabia ya mamake.

balaa tu ,mimi naona .. bcz mtu kukutana tu munapendana? si uwe muangalifu kwanza ,kuna wanawake wengine nao ,matatizo tuuuu,,na wewe pia unaonekana unapenda videmu ,,bcz huwezi kumkabidhi mtu mapenz kwa siku 1 au mbili mumekutana casino?
 
Usishangae sana Ballerina, hawa ndio wanaume wetu. Mbona wa design hii wengi tu. Yaani akili zote ziko chini. Asilimia kubwa wakibaniwa pua tu lazima waingie line.

Kuna mama mmoja alikuwa anafuatilia ela kwa tajiri mmoja bongo (jina kapuni) alipromise kuwapa NGO yao. Basi tajiri huyo akawa analeta uswahili kumbe ilikuwa danganya toto mbele ya vyombo vya habari. Huyo mama ana mvuto kweli kweli. Akawaambia wenzie subirini kesho nakuja na cheki asitufanye wajinga huyu baba.

Alipigilia kimini cha nguvu kamvaa huyo millionare wetu ofisini kwake. Kweli jamaa kaandika cheki. Japo mama nae hajatulia lakini alikuwa anajua udhaifu wa wazee wa kibongo.

Kama kuongea jambo kama hili ni kawaida........yaani mtu anahadithia kiulaini kama vile anywa kikombe cha kahawa!.........................
Siku tutasikia........"nimetembea na nyumba ndogo ya baba.......nampenda.............naomba mnishaur"i....................

Yaani kuna mambo ambayo mi nafikiri ni ya aibu kiasi ambacho kuyatangaza ni aibu zaidi............kwanza kama ni mwanaume mwenye busara na unanyejiita mwanaume.............hapo unakosa uamuzi kweli???ni kweli huoni cha kuamua???

Halafu wakiitwa wanaume na wewe unaitikia????

Nanukuu toka kwa The Boss........"Watoto bana...."

Nifanyeje?
Binafsi niliwahi kumfatilia binti fulani kwa nia ya kutaka kumuoa lakini nilipogundua kuwa rafiki yangu wa karibu ametembea naye siku za nyuma nikaghairi, yaani nilikuwa najiuliza pale rafiki yangu atakapokuwa anakuja kunisalimia nitajisikia vipi. TUTOR jibu ni rahisi sana ACHANA NAE Halafu kuna stock za kutosha tu, sidhani kama zimeisha kiasi cha kutaka kung'ang'ania hapo hapo na kaka yako.
 
Kama kuongea jambo kama hili ni kawaida........yaani mtu anahadithia kiulaini kama vile anywa kikombe cha kahawa!.........................
Siku tutasikia........"nimetembea na nyumba ndogo ya baba.......nampenda.............naomba mnishaur"i....................

Yaani kuna mambo ambayo mi nafikiri ni ya aibu kiasi ambacho kuyatangaza ni aibu zaidi............kwanza kama ni mwanaume mwenye busara na unanyejiita mwanaume.............hapo unakosa uamuzi kweli???ni kweli huoni cha kuamua???

Halafu wakiitwa wanaume na wewe unaitikia????

Nanukuu toka kwa The Boss........"Watoto bana...."

Malezi yanatofautiana!
 
Back
Top Bottom