Kitabu: Safari za jakaya kikwete nje ya nchi 2005-2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitabu: Safari za jakaya kikwete nje ya nchi 2005-2015

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by vengu, Jun 23, 2011.

 1. vengu

  vengu JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 60
  nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa safari za rais wetu jk,tangu alipoingia madarakani mwaka 2005 mpaka sasa 2011 zipo safari nyingi zenye tija na zisizo na tija kwa taifa letu, katika kipindi cha miaka mitano 2005-2010 rais amesafiri saana. kitabu kimegusa takriban safari 75 za rais, hivyo basi kwa kuwa kitabu kitakamilika mwaka 2015 pindi atakapong'atuka madarakani nawaomba wadau wote wa jf mniorodheshee safari zote za jk ( sindbad the sailor) zenye tija na zisizo na tija ili kazi hii iwe nzuri zaisi yenye ushahidi wa kutosha maana hii ni rekodi ya kipekee iliyowekwa na rais wtu(sindbad baharia) katika utawala wake.....NAWASILISHA OMBI!!!!
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Oooo......hadi sasa ngapi????
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  nina uhakika ukikipeleka kwenye kile kitabu cha vitu villio vunja rekodi atapata nafasi
  Na sisi watz tuwe na rekodi 2 nyingine mlima kilimanjaro
   
 4. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nitakuwa wa kwanza kununua hicho kitabu kwa sababu jamaa atakuwa amevunja rekodi na safari zake nyingi hazina tija kwa taifa!
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,088
  Trophy Points: 280
  Umefanya vyema ili na sisi wa Tz tuwe na rekodi zetu wenyewe siyo tusubiri Synovate wachakachue
   
 6. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu usisahau safari ile ya Malawi kuhudhuria ujenzi wa kaburi la mke wa bingwa wa mutharika na ile ya kubembea Jamaika!
   
 7. MIAMIA.

  MIAMIA. JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mh,,,,,,,,,,,,,,
   
 8. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,136
  Likes Received: 7,389
  Trophy Points: 280
  Sasa unataka za Nje ya nchi tu, au na za humu humu ndani?
   
 9. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  acheni chuzi binafsi.....mnajuaje, labda ilikuwa ni nyu yia RESOLUTION yake ya mwaka 2000....kuwa kabla hajamaliza miaka 10 yake awe ameshatembelea nchi zote duniani.

  I mean, hiyo ni resolution nzuri sana.....na mi nikiwa rais mpaka mwezini nitaenda kudadadeki.
   
 10. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Hivi kile kitabu cha jk kilichozinduliwa majuzi kimeuza nakala laki ngapi vile
   
 11. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Hata zile anazokujaga kwenu baba yako akisafiri tuziorozeshe?
   
 12. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kile Kitabu cha Tumaini lililorejea kimeenda wapi eti? Bado kipo madukani?
   
 13. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Na safari za kutembelea waizarani nazo zimo? Mazishi je? Kumbuka alihudhuria mazishi ya shehe yahaya na Mrs. Kahama bila kumsahau bro Dito.
   
 14. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,062
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Ameweka historia ya marais wote barani Afrika, nakuapia. Ukichanganya na zile alipokuwa Waziri wa Mambo ya Nje, atakuwa ameweka rekodi duniani kote. Swali ninalojiuliza: huyu bwana alikuwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje miaka 10, alisafiri sana....kulikuwa na kitu gani kipya katika safari hizi? Alipokuja London alisema bila aibu: nikikaa nyumbani tu sitapata hela! Ah, yaani huyu bwana ameshindwa mbinu za kutafuta hela akiwa TZ?
  Utatarajia nini kwa rais kama huyo?
  Kujiuzulu? Nani alyesema JK anaweza hata kufikiria kujiuzulu. Kujiuzulu hufanywa na watu mashujaa, kama vile mtu kujiua!
   
 15. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  leo safari yake ya south afrika imekua ya 315 sasa!
   
 16. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Goal yake ni kufikisha safari 800
   
 17. M

  Mohamedy Member

  #17
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndg yangu hasi haachi asili yake! Si alikua nanii wa mambo ya nje? Minuso ya nje kesha zowea ana marafiki muache akawasalimie! Hapa inabidi nguvu ya ummma tu kalianzisha gamba kumbe wenye magamba wapo japo sitasema nayeye yumo! Tulimpenda saana lakini penye dosari tuseme na penye shaka napo tuulizane wandugu.
   
 18. M

  Mohamedy Member

  #18
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Real Madrid je? Achana na h.some boy
   
 19. M

  Mohamedy Member

  #19
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kujiuzu? Yani usitegemee kabisa kwani ni vigumu kama kufunga ndoa na mwanao! Yaani sitegemei kama ana ushujaa huo,labda niseme wazi HANA KABISA! Wetedaji baadhi aliowateua wanafanya madudu anashindwa kuwajibisha iwe kujiuzulu! Amuwajibishe mshirika kesho nae amuumbue?
   
 20. M

  Mohamedy Member

  #20
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kujiuzu? Yani usitegemee kabisa kwani ni vigumu kama kufunga ndoa na mwanao! Yaani sitegemei kama ana ushujaa huo,labda niseme wazi HANA KABISA! Wendaji baadhi aliowateua wanafanya madudu anashindwa kuwajibisha iwe kujiuzulu! Amuwajibishe mshirika kesho nae amuumbue?
   
Loading...