Fikira za mwenyeketi!........kuwavua gamba

Fikira za mwenyeketi!........kuwavua gamba

IWILL

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2011
Posts
346
Reaction score
120
Ni nini hasa fikira za mwenyekiti huyu? DARKSIDE.jpg
 
Ni kuondoa vikwazo katika kupata mrithi wake ambaye ataendeleza anayoamini ni sahihi

attachment.php
 
Anayo amini ni sahihi ni yapi? Najisadikisha tulimpenda M/kiti wetu lakini sioni aibu kusema amechelewa! Amefumba macho mda mrefu sasa anakumbuka mswaki lunch time? Yote kheri na afanikiwe lakini ajue magamba yapo! Na siamini kama **** kujivua bali nikupiga moyo konde kuwavua kwani si wanawajua! kama sisi wana CCM tunawajua? Naamini huwezi imba wimbo usioujaa! Viongozi wetu wanaujua wimbo "GAMBA" sasa nawaumbe kikwelii
 
Back
Top Bottom